Ipi ambayo ukiingalia unaona kweli umeangalia?Mtu anaangalia Money Heist akitoka anajiita smart. Yani usmart wake anaupima kwa kutazama movie tena yenyewe ni hii ambayo hata watoto wa shule ya msingi nawawekea wanatazama na wanaijua mtiririko.
Shule muhimu sana.
😂😂😂Anajiita smart kwa kuona money heist kazi kwel kwelMtu anaangalia Money Heist akitoka anajiita smart. Yani usmart wake anaupima kwa kutazama movie tena yenyewe ni hii ambayo hata watoto wa shule ya msingi nawawekea wanatazama na wanaijua mtiririko.
Shule muhimu sana.
ShukranNenda telegram,search money heist season 4 netflix utadownload bure
Kwangu mm naona zipo kama game of throne 24 na breaking bad
daaa mkuu kama unapenda series za kiintelijensia bac hakuna ya kugusa 24 Anza nayo season 3Sijawahi kuipenda 24 yaani hata kidogo
Game of throne ni kali ni moja ya Series ambayo nayo huwa nairudia rudia.
"BB"Nitajie series ipi si takataka?
Done with season 4...Ngoja basi niwe nayo serious kuanzia usiku wa leo.
Done with season 4...
Waiting for NAIROBI season 5
Nairobi alikuja kuuliwa na gandia(mlimzi wa gavanaKuna watu waga wananiuzi humu kuifananisha na pb money heist ni nzuri sana lakini sio kwa Kiki iyo pewa vip alie ona season 4 atupe ronja kidogo
Kama una line ya halotel jiunge bando la usiku ni haina kipimo cha data unatumia bure from saa 6 usiku to saa 12 asubuhi high speed 1500 tu
Tayari jerry baada ya kuipata sijarejea tena humu hadi nimeimalizauna telegram?
kama unayo telegram nenda sehemu ya search then andika money heist season 4 itakuja,ukishindwa njoo dm
Upo telegram?Tayari jerry baada ya kuipata sijarejea tena humu hadi nimeimaliza
.
Kama umeiangalia nina swali mpja
Kwanini berlin alimuua that fat guy pale kwenye hotel chooni
Kauliwa na yule gandia......ana sura chachu kama year 2020Ahh Nairobi.
Ready to see my girl again
duh uko fasta mzee mama umetishaKauliwa na yule gandia......ana sura chachu kama year 2020
Ila kaingia bad ass mwingine anaitwa manila
Done with season 4...
Waiting for NAIROBI season 5
Ki ukweli pb ni fire....japo sikuimalizaga ila watu wanaichalenj hii money heist coz kuna imposibilitynyingi sana zinawezekana kirahisiKuwa mkweli hii unaweza kufananisha na Prison break?
Ila season 5 itakuwa for nairobiNairobi is gone..
Ina epsode 8...ila HOOT!!Duuh? Ina episode ngapi season 4
daaa mkuu kama unapenda series za kiintelijensia bac hakuna ya kugusa 24 Anza nayo season 3