Hiyo haiingii hata kidogo kwa prison break.Kuna watu waga wananiuzi humu kuifananisha na pb money heist ni nzuri sana lakini sio kwa Kiki iyo pewa vip alie ona season 4 atupe ronja kidogo
If elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu
Ngoja basi niwe nayo serious kuanzia usiku wa leo.Nzuri dear .ungekua karibu ningeamza kuingalia tena na wewe
Sawa ngoja niendelee nayo ninayo kwenye simu season 1 nzima ngoja weekend hii nimalizane nayousije ukakata tamaa maana utakosa uhondo, mimi pia nilianza kama wewe sina hata interest ya kuangalia, icho kipindi nimeachika kwa baby nina bonge la depression ila mbaya ila hii series iliniteka na kunisahaulisha kila kitu ni bonge moja la picha na linanoga unapozidi kusogea mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
PB moto mwingine ule huwa sichoki kuirudia rudia.Kuna watu waga wananiuzi humu kuifananisha na pb money heist ni nzuri sana lakini sio kwa Kiki iyo pewa vip alie ona season 4 atupe ronja kidogo
Season 3 inaisha hajafeli?Professor kila Jambo analopanga anafanikiwa hapo ndo umefanya uhondo upungue honest sijaipenda hii series
Hiki kichwa kilikuwa balaa, bahati mbaya michael aliikuwa mbele sekunde 1 dhidi yakeIf elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu View attachment 1407786
Sure mkuuIf elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu View attachment 1407786
Ila T-bag au bagwell kwangu alikuwa ananifurahisha Sana na tabia yake ya ukatili.
Sanaa pb ilikuwa na genuHiki kichwa kilikuwa balaa, bahati mbaya michael aliikuwa mbele sekunde 1 dhidi yake
Sent using Linux 10.29
Pb ilikuwa na genius Wawili matata sanaaaHiki kichwa kilikuwa balaa, bahati mbaya michael aliikuwa mbele sekunde 1 dhidi yake
Sent using Linux 10.29
Hiv Kuna series yenye kiwango Kama Cha prison break?Sanaa pb ilikuwa na genu
Pb ilikuwa na genius Wawili matata sanaaa
upo wapi mkuu mimi nakupa bure na flash juu.Nani anaweza akanifanyia wepesi wa hichi kitu
Hiyo Prison Break yako ni "takataka" tu kama "takataka" zingine.Hiv Kuna series yenye kiwango Kama Cha prison break?
Nitajie series ipi si takataka?Hiyo Prison Break yako ni "takataka" tu kama "takataka" zingine.
Nitajie series ipi si takataka?
Sasa yeye maisha yake yanakuhusu Nini wewe? Wewe ulimjua kupitia maisha yake au movie zake? Pamoja na yote Hilo aliondoi ubora aliouonesha kwenye prison break.Yaani toka ajitangazr ni shoga .. michael nimeshusha thamani na series yake imenichfua sana .. ni zaidi ya takataka