Money gram ni nini na inahusika na nini

24hrs

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,624
5,947
Wakuu huwa sielewi neno hilo lina maana gani na huwa huwa inafanyajekazi
 
INAKUAJE APO HILI NENO SIELEWI
Kuna wale vijana wawili kutoka chuo kikuu cha Stanford walihenya kweli kweli mpaka wakafanikiwa kutuletea Google. Jamaa mwingine naye akajibidisha weeee mpaka akatupatia Wikipedia. Sasa sisi hata kutumia vitu hivi navyo ni shida? Nenda huko na utapata maelezo ya kuanzia halafu uje humu watu tukueleweshe jinsi hiyo Money Gram inavyofanya kazi....
 
nataka kujua inatumikaje hapa nyumbani upuuz wa kugugo si uelew
 
we ka unafahamu si uelezee ndugu mi mpaka nifike uko gugo.....
 
Unataka utafuniwe,wewe kazi yako kumeza tu,kama umeweza kuingia JF kwanini usiingie "gugo" usipende kitonga.Tabia ya kuuliza uliza hata vitu ambavyo maelezo yapo wazi online ni ujinga wa chuo kikuu,na hapa Tz imezoeleka sana,nadhani kwa kuwa kuuliza ni bure,ingelikuwa watu wanauliza kwa pesa,watu wengi wangejifunza kufikiri na kutafuta maelezo ya kina online.
[HASHTAG]#Kama[/HASHTAG] hutaki kwenda "gugo" baki hivyo hivyo,hakwambii mtu hapa.
[HASHTAG]#SipendagiUjinga[/HASHTAG]!
 
Rhiyo ni huduma ya money transfer kama ilivyo Western Union, Mpesa na Tigo Pesa.. Ni huduma yenye mawakala na wakala wao mkubwa hapa Tz ni Exim Bank...
 
Unataka utafuniwe,wewe kazi yako kumeza tu,kama umeweza kuingia JF kwanini usiingie "gugo" usipende kitonga.Tabia ya kuuliza uliza hata vitu ambavyo maelezo yapo wazi online ni ujinga wa chuo kikuu,na hapa Tz imezoeleka sana,nadhani kwa kuwa kuuliza ni bure,ingelikuwa watu wanauliza kwa pesa,watu wengi wangejifunza kufikiri na kutafuta maelezo ya kina online.
[HASHTAG]#Kama[/HASHTAG] hutaki kwenda "gugo" baki hivyo hivyo,hakwambii mtu hapa.
[HASHTAG]#SipendagiUjinga[/HASHTAG]!
povu lote khaaaaa
 
Back
Top Bottom