Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
If you don't have a Purpose; You don't know what you want, you will assume you want something na kwa vile hauridhiki utakuwa unakimbizana na illusion....
Hapo umeongelea mambo tofauti kupata pesa na kuugua (haimaanishi moja wapo ni substitute ya jingine, unaweza ukapata vyote au ukakosa vyote) unaweza ukapata kimoja au vyote au usipate vyote na ukawa una furaha au hauna furaha....
Cha maana ni know what you want..., kuna mtu furaha yake ni kutafuta pesa (sio kuitumia bali kuitafuta; ile adrenalin rush na kila akiongeza zero kwenye akaunti yake yeye ndio amefika)
Kuna mtu furaha yake ni wapendwa wake wafanikiwe yuko radhi augue hata ukimwi (ajiuze) au auze figo au kupata kilema cha maisha hata kujiua kama hio itamaanisha anapata pesa za kuwawezesha wapendwa wake...
In short kama upo vain na haujui unachokitaka utakuwa unadhani ukipata cha kukipata utakuwa na furaha (rat race) kama furaha yako inategemea mwingine (akupende au akufurahia) hio sio sustainable utakuwa na furaha mpaka siku huyo mtu akiku-dissapoint...
Ila kama unajua miasha ni kuishi na disappointments ni part of life then you are blessed...
Blessed is he who expects nothing..., for he shall never be disappointed...
By the way life is a journey not a destination..... Job angepona akaendelea kuishi mpaka pale Apple ikafirisika na kumuachia madeni ya kutosha siku kabla hajafa angeimba a different tune.....