Monduli maji hayapatikani kwa muda ya miaka 50 sasa, Lowassa vipi?

ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward lowassa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee.

Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau monduli? Kama haumini leo hii nenda monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.

huyu ni tapeli sana na anatumia uongo kutaka kufanikisha mambo yake,nadhani tungeiona monduli kaa paradise ndogo ili iwe mfano ila hajafanya kitu,still wamasai wanalala kwenye manyata,hakuna maji,wamasai hawana kazi ,wamasai wanazurura mjini kwa kazi za kijinga za ulinzi.poor lowassa tumekushtukia na gia zako za kitapeli
 
Back
Top Bottom