Monduli maji hayapatikani kwa muda ya miaka 50 sasa, Lowassa vipi?

ama kweli mnawashwa..leo unakumbuka monduli...chalinze, chato,masasi,butiama kote hakuna maji afu unajifanya eti monduli... mtakoma mwaka huu ....
 
ama kweli mnawashwa..leo unakumbuka monduli...chalinze, chato,masasi,butiama kote hakuna maji afu unajifanya eti monduli... mtakoma mwaka huu ....

".....walutheri mniombee sana..nchi hii haijawahi kuwa na rais mlutheri....nyerere alikuwa mroman..mkapa pia
Sasa n zamu ya walutheri"

Huo ni udini

"...kaskazin tunaonewa sana..imekuwa n sehem ya uwaziri mkuu tu...sokoine alikuwa wazir mkuu wa huku..sumate pia na mimi nilikuwa waziri mkuu..hakujawahi kupatikana rais...sasa n zamu ya kaskazini"

Hahah
huo n ukabila

Hatuwez kuchagua rais wa walutheri aitwae ngoyai
 
Nini kuombewa hata kama angehitaji kubatizwa tungembatiza...

Huna hoja kaa kimya kwani kwenu kuna maji???
 
Ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya Monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward Lowassa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee.

Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau Monduli? Kama haumini leo hii nenda Monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.

Lowasa ndiye rais wa JMT
 
Hata Yuda Iskariote alikuwa anapiga deal kwa mgongo wa kuuchukia umaskini, kuna siku alitaka pafyumu ya Yesu iuzwe ili pesa wapewe maskini, Yesu akamkaripia kuwa MASKINI wapo siku zote asijifanye kawaona siku hiyo. Mtu akikuambia anauchukia uwe macho, huenda akawa mpigaji tu.

Escrow hoyeeeeeeeeee
 
Ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya Monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward Lowassa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee.

Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau Monduli? Kama haumini leo hii nenda Monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.
Tusubiri tar 25 oct sio mbali, wananchi wa monduli wataamua,,
 
Lowasa ndiye rais wa JMT

L0wasa gan unazungumzia?
Kama yule aliiba mwaka 2008
hawez kuwa rais
hata ikulu haruhusiw kuingia

Ungesema rais n dkt john pombe joseph magufuli
Ningekuelewa
maana saiv ndo habari mujin
 
Ishu sio sehemu gani kuna maji na wapi hakuna, ishu fedha za maji zilipelekwa jimboni kwa Mbunge Lowasa, zimefanya kazi gani?

mkuu ungejua nchi inavyotafunwa usingezungumzia ilo swala la monduli pekee,ndio maaana nakwambia Tanzania kwa ujumla kuna ukosefu wa huduma muhimu kwa jamii ndio maana unaona miji ya Mingi ya Tanzania inakua kwa kasi karibu na barabara kwa kuwa wakichepuka kidogo tuu huduma hazitafika kwa wakati.nchi haina umeme maji yanaenda baharini tuu..
 
So, unataka kuniambia tuhuma za Richmond haziruhusiwi kuingia ikulu ila tuhuma za uuzwaji holela wa nyumba za serikali ndio unakaribishwa ikulu?
 
So, unataka kuniambia tuhuma za Richmond haziruhusiwi kuingia ikulu ila tuhuma za uuzwaji holela wa nyumba za serikali ndio unakaribishwa ikulu?

Nani kauza nyumba holela?

Suala la nyumba sumaye alishalieleza vizuri kabisa
sijui kama ulikuwa umezaliwa wakat ule sumaye anatangaza nia june mwaka huu pale hyatt regency
 
Kama ameshindwa Monduli sehemu ndogo waliko babu zake hatoweza kutufanyia mema Watanzania wengine
 
Back
Top Bottom