Monduli maji hayapatikani kwa muda ya miaka 50 sasa, Lowassa vipi?

Unazungumzia ya monduli, mbona hapo ulipo hupati maji. Maji yanaletwa na mbunge au na serikali? Kwani mbunge ni bosi wa mamlaka za maji? Sisi dar tumewekewa mabomba ya mchina kwenye kampeni za kwanza za kikwete, hayajawahi kutoka maji, ila tu wachina wenyewe walipoyafanyia maribio. Ingekuwa monduli tu tungesema sawa, maji ni kilio cha nchi nzima, mpaka chato walio mita 100 toka ziwani
 
Na kama mbunge anaweza kupiga dili kwenye mradi ulio chini ya wizara ya maji na halmashauri, basi mfumo wa serikali, au serikali yenyewe ni dhaifu.
 
Na kama mbunge anaweza kupiga dili kwenye mradi ulio chini ya wizara ya maji na halmashauri, basi mfumo wa serikali, au serikali yenyewe ni dhaifu.

Acha uvivu wa kufikiri
Hujui kama kuna pesa anayoingiziwa mbunge kwaajili ya maendeleo ya jimbo?
 
hivi yale maji ya monduli ni maziwa?
wengi wanachangia bila hata kupafahamu.
 
Ha ha ha ha ha ha
Mkuu huyu mtu alikua Ikulu, na kama ni kuingi kaingia mara kibao na bado ana escort ya watumishi wa Ofisi ya Rais mpaka sasa cha msingi ni watanzania kumpima na kuamua kama anafaa tena kurudi na wamuulize kwa nini alitoka, wakimkubari sawa wakimpiga chini imekula kwake!

Wakat ule aliingia
Kabla hajawa mwz
Lakin saiv hata lile geti tu kuligusa haiwezakan tena
Asije akajisaidia ikulu
 
hivi yale maji ya monduli ni maziwa?
wengi wanachangia bila hata kupafahamu.

Tatzo sio maji
Tatzo n maji hayo yanapatikana vipi

masai wale wanatembea umbali mtefu sana kutafuta maji
Afu unasema kuna maji
lakin hio jeuri ya kutesa wamasai wenzenu mmeitoa wap

Maana najua lowasa n mmeru ndo maana hana uchungu na hao wamasai
lakin still n watanzania wenzetu
 
Wala msiwe na wasiwasi, Itapigwa Harambee ya nguvu muda si mrefu. Mtapewa maji safari hii sio Kofia, Kanda wala Tshirt. Jmaa yuko Makini sana.

Siku zote alikuwa wapi?
Mbona kapiga harambee nyingi za makanisa...
Acha kutuzingua hapa..
Kwa nini unasemea???
 
Ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya Monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward Lowassa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee.

Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau Monduli? Kama haumini leo hii nenda Monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.

Muulize Kikwete
 
Yangekuwa yanatoka mngesema ***kapeleka kila kitu kwao .. Ona ona maji monduli yanavyotoka bila kukatika c alikuwa waziri wa maji mbona uku kwetu hajatuletea kapeleka tu kwao ni binafsi tusimchague*** mbona shinyanga yalipelekwa tena kuto ziwa victoria hamsemi
 
Back
Top Bottom