Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.