Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
mie siye mzee tafadhalii.... utawafukuza wote pmSasa tuendelee kudumisha upendo ugomvi sio mzuri hasa kwa wazee ka sie
mie siye mzee tafadhalii.... utawafukuza wote pmSasa tuendelee kudumisha upendo ugomvi sio mzuri hasa kwa wazee ka sie
Duuh mzee hyo kali, we unampango wa kumuiba nan?Waache vurugu zizidi... wizi mzuri hufanyika penye kelele
Kaka angu mm huyoMzee vurugu zimekua nying sio.mbaya kushauriana kwa.mema
Hahahamie siye mzee tafadhalii.... utawafukuza wote pm
Hiv upo?Heee!ar u,u?!!!
Your question is reserved.Duuh mzee hyo kali, we unampango wa kumuiba nan?
Ha ha ha ha well noted until further notice!!Your question is reserved.
Ameadimika km mfupa wa mbuu...vilee,Kaka angu mm huyo
superstar kuzeeshana sio kuzuri utaninyima vingi.Hahaha
Sawa le superstar!! Kijana mwenzao
Nina case na wewe ila ntakutafuta mwenyeweBonyy!![]()
![]()
![]()
![]()
mashauzi
Nsamehe bure le superstar, nilisahau ng'ombe hazeeki mainiisuperstar kuzeeshana sio kuzuri utaninyima vingi.
Nini jamani umeanza lini kuwa bubu kaka angu mieMmmmh![]()
![]()
![]()
uwe available tu... espy umempeleka wapi maana wewe ndiye nilikukabidhi?Ha ha ha ha well noted until further notice!!
Kaniambia katekwaAmeadimika km mfupa wa mbuu...vilee,
haonekani km chozi La samaki,
hayupo kama macho ya jongoo...
kapotea kama miguu ya nyoka
na yakizeeka basi nyongo kalia ini anafanya kazi.Nsamehe bure le superstar, nilisahau ng'ombe hazeeki mainii
Hahahana yakizeeka basi nyongo kalia ini anafanya kazi.