Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
Eti .so what?Ili kuja kutangaza JF?
What the heck!
Eti .so what?Ili kuja kutangaza JF?
What the heck!
Ole wakoooo!!!nakurogaaNaitwa flani nafanya kazi sehemu flani naishi dar mahali flani unasindikiza na mpicha wako




Itakuwa JDBusara nyingi sana zimetukika kuandika huu uzi, huyu mzigua sijui kala nini tu jamani
Hilo la wadada ndo umbea umbea huko halafu nyie nyie baadae mnarudisha maneno kwa wahusika.





Sitakagi hizo group naogopa kusutwaHilo la wadada ndo umbea umbea huko halafu nyie nyie baadae mnarudisha maneno kwa wahusika.
Kuna siku mtu alinijia PM akaniambia kuna group limeanzishwa whatsapp linaitwa JF Dadaz![]()
Nikamwambia sina whatsapp . Period
Mbona unacheka?
Hahaha si wanadai na mwanaume hahahaha lazima mwanaume ashushe madini mazitoBusara nyingi sana zimetukika kuandika huu uzi, huyu mzigua sijui kala nini tu jamani

Hili swali zuri sanaHivi ulijitambulisha kwa jina la mzigua au la kwenye cheti cha kuzaliwa


BoraLa kwenye vyeti wewe![]()

Naitwa flani nafanya kazi sehemu flani naishi dar mahali flani unasindikiza na mpicha wako




huo ni ufwalaNa ndio dawa yao. Wanawake wanahangaika sana.Kuna siku mtu alinijia PM akaniambia kuna group limeanzishwa whatsapp linaitwa JF Dadaz![]()
Nikamwambia sina whatsapp . Period
Ata mimi naona mzeeHahaha si wanadai na mwanaume hahahaha lazima mwanaume ashushe madini mazito![]()
![]()

kwenye ubora wako ""Wengi wasiojielewa ni wadada bifu nyingi ni kugombania wanaume tena anonymous utadhan mitaan wameisha.