Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.
haswaaa, hata mimi kuna siku niliona kuna utofauti wa hayo ulosema. Unaweza mwangalia mtu na kuanza kushangaa mwenyewe kama wanazo humo kichwani.

Ila vzr umetuletea somo hapa tutaendelea kujifunza zaidi
 
Ujumbe mzuri Mzigua wenye kukusikia wamekusikia, watu wanajisahau hawajui kuna maisha nje ya JF na huu ni mtandao tu.
 
Jamani
Nimefurahi saaana kuwa nanyi hapa, ngoja nijenge Taifa sasa!!

Tupendane tuu maana hakuna namna ingine kabisaaa!! Penda nyie wote!!

Mbebez wangu kipenzi tuondoke sasa!!
We kajenge mie ntakuja kupaka rangi. Wacha niendelee kusogoa hapa siku iishe
 
Back
Top Bottom