Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 May 21, 2018 #441 Inna said: muendelezo wa janaaaaa Click to expand... jana kulikua na nn shemeji
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #442 Mzigua90 said: Eeeh. Waseme Sakayo mwenyewe hana chura na sura yake kama ya mjomba ake Click to expand... Sakayo mwenyewe ndio huyu anatumia avatar ya rihana mbaya anatisha
Mzigua90 said: Eeeh. Waseme Sakayo mwenyewe hana chura na sura yake kama ya mjomba ake Click to expand... Sakayo mwenyewe ndio huyu anatumia avatar ya rihana mbaya anatisha
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 May 21, 2018 Thread starter #443 sweetlee said: Na mwisho wa siku lazima yabume tu. Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko. Click to expand... Mi umbea wangu nampa Shualina tuu
sweetlee said: Na mwisho wa siku lazima yabume tu. Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko. Click to expand... Mi umbea wangu nampa Shualina tuu
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #444 Shunie said: Kumbe imetolewa kwa group aliloingizwa hajui kama kuna watu wa jf umshkuru mbebez wangu sana kwa kutuambia picha inazunguka huko tusingejua wakunyumba Click to expand... Mpe pole sana
Shunie said: Kumbe imetolewa kwa group aliloingizwa hajui kama kuna watu wa jf umshkuru mbebez wangu sana kwa kutuambia picha inazunguka huko tusingejua wakunyumba Click to expand... Mpe pole sana
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 May 21, 2018 Thread starter #445 witnessj said: Hivi kuna mtu kawalazimisha kuyaleta jukwaan? Simple logic, mmegombana mkashindwa kuombana misamaha live, whassup, pm mkayaleta public, sisi tufanyeje sakayo? Click to expand... Tucheke. Sasa hata ukicheka mama angu unaambiwa unachochea.
witnessj said: Hivi kuna mtu kawalazimisha kuyaleta jukwaan? Simple logic, mmegombana mkashindwa kuombana misamaha live, whassup, pm mkayaleta public, sisi tufanyeje sakayo? Click to expand... Tucheke. Sasa hata ukicheka mama angu unaambiwa unachochea.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #446 Mzigua90 said: Mi ninae babu yangu humu jamani. Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 May 21, 2018 Thread starter #447 witnessj said: Pouwa cute...za jana? Click to expand... Nzuri kabisaaa.
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #448 Mzigua90 said: Mi umbea wangu nampa Shualina tuu Click to expand... Nampenda Shualina Shualina mamaaa jina lake namjua namjua mama
Mzigua90 said: Mi umbea wangu nampa Shualina tuu Click to expand... Nampenda Shualina Shualina mamaaa jina lake namjua namjua mama
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #449 Mzigua90 said: Konyooo. Najipanga panga hapa nije Sinza kwenye nundu Click to expand... Mh saa ngapi hiyo jamani umenitajia nundu mate yamejaaa ila sasa ndugu niko na majanga napigiwa simu kila mara woiii kama ni usiku itapendeza zaidi
Mzigua90 said: Konyooo. Najipanga panga hapa nije Sinza kwenye nundu Click to expand... Mh saa ngapi hiyo jamani umenitajia nundu mate yamejaaa ila sasa ndugu niko na majanga napigiwa simu kila mara woiii kama ni usiku itapendeza zaidi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #450 Mzigua90 said: Mi umbea wangu nampa Shualina tuu Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #451 sweetlee said: Mpe pole sana Click to expand... Tunajiuliza picha imefikaje jamani ndio kumfata aliyemuingiza kwani group liko na watu wa jf akaambiwa eeenh akaleft hapo hapo
sweetlee said: Mpe pole sana Click to expand... Tunajiuliza picha imefikaje jamani ndio kumfata aliyemuingiza kwani group liko na watu wa jf akaambiwa eeenh akaleft hapo hapo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #452 sweetlee said: Nampenda Shualina Shualina mamaaa jina lake namjua namjua mama Click to expand... Shualinaaaaa
sweetlee said: Nampenda Shualina Shualina mamaaa jina lake namjua namjua mama Click to expand... Shualinaaaaa
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #453 Shunie said: Tunajiuliza picha imefikaje jamani ndio kumfata aliyemuingiza kwani group liko na watu wa jf akaambiwa eeenh akaleft hapo hapo Click to expand... na wewe uko huko kwa Group
Shunie said: Tunajiuliza picha imefikaje jamani ndio kumfata aliyemuingiza kwani group liko na watu wa jf akaambiwa eeenh akaleft hapo hapo Click to expand... na wewe uko huko kwa Group
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 May 21, 2018 Thread starter #454 Sakayo said: Wala sio kukosa kazi my dear, mie nawaona washamba wa maisha tuu!!! Missing you more my dear, nani anakuficha Click to expand... EXPOSURE
Sakayo said: Wala sio kukosa kazi my dear, mie nawaona washamba wa maisha tuu!!! Missing you more my dear, nani anakuficha Click to expand... EXPOSURE
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 May 21, 2018 #455 Mzigua90 said: Tucheke. Sasa hata ukicheka mama angu unaambiwa unachochea. Click to expand... ......mi nilikuwa nabalansisha storeee
Mzigua90 said: Tucheke. Sasa hata ukicheka mama angu unaambiwa unachochea. Click to expand... ......mi nilikuwa nabalansisha storeee
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #456 Shunie said: Shualinaaaaa Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 May 21, 2018 Thread starter #457 sweetlee said: Eti umeshawahi kuungwa kwa hayo magroup Click to expand... Unaongea na mimi au unaongea na simu??
sweetlee said: Eti umeshawahi kuungwa kwa hayo magroup Click to expand... Unaongea na mimi au unaongea na simu??
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #458 Mzigua90 said: Unaongea na mimi au unaongea na simu?? Click to expand... Naongea na wewe
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #459 sweetlee said: na wewe uko huko kwa Group Click to expand... Naanzaje mama kwanza utaanzaje unifate uniambie una group lako uniunge pm yenyewe situmii
sweetlee said: na wewe uko huko kwa Group Click to expand... Naanzaje mama kwanza utaanzaje unifate uniambie una group lako uniunge pm yenyewe situmii
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 May 21, 2018 Thread starter #460 Mr Miller said: Pole ex babe....nani tena amekukorofisha!! Msamehe tu. Click to expand... Ex bae hi