Pole ex babe....nani tena amekukorofisha!!Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
yule yule jaman, na hii baridi nakuambia tunagandana kama rubaWala sio kukosa kazi my dear, mie nawaona washamba wa maisha tuu!!!
Missing you more my dear, nani anakuficha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana wa ID na Avatar fake ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kwenye maisha ya kawaida hata unichukulie mume halali kabisa hutaona hata nikirusha ngumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya nini kujipa ngeu nikose salamu huko barabarani [emoji23]
AiseeeNahis ameshantengeneza sjielew kabisaaa yaan fanyen Maombi sio bure
Imefika na boti ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Picha inazunguka tu jamani unajiuliza picha imefikaje jamani
Woiiiiiii ninavyopenda heinken mm jamani anayenifariji nikiwa na mastress yangu heineken idumu mileleEti uachwe kunywa zako Heineken ukae unapambana na Shunie.
sasa wewe huoni una akili mingi sana? ambao hawako busy na hawana akili ya kujiongeza ndo wako hivyoMbona mi sipo busy na siwezi nunua ugomvi hata wa nani. Shoga angu Phenomenal woman anakasirikaga akianza kugombana na mtu halafu mi namtetea huyo mtu maana naona kabisa yeye ndo mkorofi sasa namteteaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti umeshawahi kuungwa kwa hayo magroup [emoji23][emoji23]
Pole yao kwakweli maisha ni mafupi sana halafu matamuWale wasengenyaji ndio wanapenda kuzeeka haraka [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ninae babu yangu humu jamani. [emoji23][emoji23]Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..
Wanazungukana huko weeeee mwisho yanakuja jukwaani!!
Jamani hatuyatakii pambaneni huko huko mlikoanzia!! Kuna watoto wetu humu, wazazi wetu pia!! Heshima muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe imetolewa kwa group aliloingizwa hajui kama kuna watu wa jf umshkuru mbebez wangu sana kwa kutuambia picha inazunguka huko tusingejua wakunyumbaImefika na boti ama [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu niwaache niko natengeneza mazingira yanguNyoooo
[emoji23][emoji23]Pole yao kwakweli maisha ni mafupi sana halafu matamu
hahahaKuna watu siku hizi wanarudi kwenye nyuzi zao wanafuta na kubakisha nukta tu...