kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu.
Na mwisho wa siku lazima yabume tu.
Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko.
kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu.
Mbona mi sipo busy na siwezi nunua ugomvi hata wa nani. Shoga angu Phenomenal woman anakasirikaga akianza kugombana na mtu halafu mi namtetea huyo mtu maana naona kabisa yeye ndo mkorofi sasa namteteaje