sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Mweee kwani jana kulitokea niniNdo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha![]()



Mweee kwani jana kulitokea niniNdo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha![]()



UmeonaeeeeCheko la kikubwa
Asante sana mbebez wake mtu tena nilikuwa sina hata mpango wa kucharge kuna ndg yangu mmoja ndio kanisumbua eti amka ukacharge simu huko kokote kwenye umemeHahaha
Pole sana jamani dada ake mtuu!!!
Halafu wakatafuta picha mbaya ahahaa wangeniambia tu niwape picha kamili









Pole sana jamani!!Huwezi amini mungu shahidi sijawai kumkosea chochote. Hata ukimuuliza.
Aiseee
Shkamoo kakake shunie
Shikamoo Dada akee shunie namtafuta mtekaji aliyenitekea kaka angu amwachie kidogo na jf nimuone mm
Ila wanaume wa jf wengine wastaarabu sana
Halafu weweNakuombea uendelee kuwa hivi hivi.
Umeongea point kubwa sana
Dohnilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini





Yaani wala sina shida nao.niliwakabidhi wenye nchi yao hata sijui ilikuwajePole sana jamani!!
Ni kumpuuza tuu my dear!
Uzuri unajijua mwenyewe!!Halafu wakatafuta picha mbaya ahahaa wangeniambia tu niwape picha kamili
Hahaha
Nafikiri halijakukuta wewe!! Mtu anakununia with no reason sababu tuu fulani hakupendi!!
Huwa nawadharau tuu napita ka meona kivuli!!





Subiri nikununie na mm
nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini







mbavu zangu mmAfadhaliAsante sana mbebez wake mtu tena nilikuwa sina hata mpango wa kucharge kuna ndg yangu mmoja ndio kanisumbua eti amka ukacharge simu huko kokote kwenye umeme
Ahahaa ila wengine wachonganishiWengine wastaarabu mnooo kama kaka angu Bonny Mungu azidi kumweka tu jamani mstaarabu sana msambaa mwenzangu sana
Tanesco wamekuja jana wamebadilisha transfoma imelipuka tena eti wamesema wanaweza kuja leo au keshoAfadhali
Sasa wanatengeneza lini!!