Muigizaji Monalisa ashinda tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Best Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika

Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Accra huko nchini Ghana

mona.jpg
 
Hongera yake kwa kutuwakilisha kimataifa

Wema yeye huwa anapata tuzo za ndan zenye utata ambazo kila mtu hubaka na viulizo vya hapa na pale
 
Nikijiuliza mara ya mwisho kumuona ray kigosi kwenye movie hata sipati picha..

Wala hata sijui lini labda mm sio mfuatiliaji wa bongo movies..

Nasikia ray kigosi ni male best actor kwa Africa
Monalisa nae ni BEST ACTRESS..

Nmejiuliza sana hizo tuzo anatoa nan huko Ghana..!!??

Naomben mwongozo wadau nisijekuitwa mchochezi bure.. ila kiukweli namuonaga ray kigos yupo busy na mwanae kwenye mitandao na sio movies..

Kuhusu monalisa mmhhhh hapana sijawahi kuona movies anazo act m not really sure..

All in all... congraturations for u two. Tanzania tuko proud
719bdd50b7b51e8e7ad8e2356891b607.jpg
 
Best Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika

Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Accra huko nchini Ghana
View attachment 745061
Hongera monalisa wenye wivu wajinyonge
 
Hongera sana kwake, kwa upande wa muigizaji bora wa kiume barani Afrika kwa mwaka 2017 ameshinda Ray huku kipengele cha mpiga picha bora barani Afrika(2017) ameshinda mtanzania Moise Hussein. Mzee Majuto pia alishiriki ila hakubahatika kupata tuzo.

Tuzo hizo zilizinduliwa mwaka jana mwezi wa tisa nchini Ghana ambapo kulikua na zoezi la upigaji kura. Hivyo kushinda kwao ni kutokana na kura.
 
Back
Top Bottom