Monaban: Lema ameiba kura

Monaban: Lema ameiba kura

Alafu wenyewe wametulia siyo Kama ccm wakishinda mbwembwe nying Kama hawakutarajia kushinda
 
Yaani sababu za monaban kushindwa hazina tofauti na za Lowasa. ......vichekesho vitupu
 
Monaban umegombea tu kwa mara ya kwanza na hatujui sifa za utendaji wako iweje utake ushindi hapa arusha, kubali kushindwa jaribu tena kipindi kingine hahahaaa we ulifikiri ukiwa na pesa basi unapita tuu
Mbona ubungo hatujui utendaji wa kubenea ,
 
kinachomtesa huyo manaban ni mapesa aliyotumia kwenye kampeni na si kingine...
 
Kama anaona hajapigwa kihalali mpambano urudiwe hi hi hi hi hi hi
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanaukumbi

Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Aliyekuwa mgombea wa ccm Arusha mjini Philemon Mollel ameshusha tuhuma kuwa Godbless Lema ameiba kura ndiyo maana ameshinda.

'kuna gari lenye kura limekamatwa ila lilitoweshwa baadaye..'

Source: channel ten

Ha ha ha ha........aisee........kifo cha Mende kibaya jamani.......
hivi kwa Arusha......hata kama hujui kusoma........picha huelewi......hata harufu huhisi........nafwaaaaaa......

Monaban akae atulie, kichapo alichopata ni cha halali kabisaaa.

Siipendi hii tabia ya watu kushindwa na kuanza kulialia.
Ndio maana nilimheshimu sana Mzee Omar Nundu wa Tanga mjini. Alichapwa akakubali kwa roho safi.

Monaban anaweza fanya sherehw ndogo, kura alizopata ni nyingi kuliko mwanaccm yeyote alitarajiwa kupata Arusha. Ni jambo jema akubali kushiriki na kushindwa.
 
viroba vya sembe sio shahada ya kupigia kura !
 
Labda ule ukuta una maslahi ya ccm ndio maana wanasema Chama kwanza taifa baadae
 
Back
Top Bottom