Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Naisi ka Harufu ka kutapatapa kwa ccm
Mzee wa sembe unga ltd bora hela yake yakampeni angeongezea mahindi tu hasara monasembe amepata jamani
Tuliwaambia kabisa kuwa safari hii tutawaibia Wao! Haa hah haha haha
Halafu wewe........nilikuona ukikimbia na sanduku la kura za Monaban ukikatiza vichochoro vya Milano.......
Duh! Huyu mzee kanichekesha to the maximum aisee
Na kasema anavunja chungu.......wale wote waliokula hiyo sembe......anawaotesha mkia.........
Akavunje pipa kabisa maana chungu hakitoshi!
Kabisa preta akasagishe Unga bhana hahahaaa
Hii kali! ccm wanalalamika wameibiwa kura!!!
Mbona juna lake limekaa kidosi dosi sana "Monaban"
Ngoja tuone......Magu atafanya nini.......na ule ukuta alioujenga juu ya reli.........
Monaban akubali tu.....Arusha inajulikana
Hongereni Arusha. Hakika kwa kiasi fulani mmeponya vidonda vya wanamabadiliko nchini maana ushindi huu umefunika mbaya hata shindi za CCM zimekosa uthamani.
Mkuu Afande Sele hajafungua kesi kupinga matokeo ya Ubunge Morogoro mjini?