Monaban: Lema ameiba kura

Monaban: Lema ameiba kura

Hahaaaaaa.... Monaban ni kenge kweli... Wakati yeye ndiye aliyetaka kuingiza uhuni wake akashindwa baada ya kuthibitiwa
 
sirluta ndiye aliyemlia pesa zake kwa kumdanganya kuwa atashinda!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mgombea hakuwa na Mvuto hata kuongea ni kama vile anajifunza
Kwa kifupi hashawishi mpiga kura kumpa kura yake. Lema anajua kuchonga si mchezo anashawishi!
 
Huyo mgombea hakuwa na Mvuto hata kuongea ni kama vile anajifunza
Kwa kifupi hashawishi mpiga kura kumpa kura yake. Lema anajua kuchonga si mchezo anashawishi!

Alafu kazubaaa angeenda kusinzia mjengoni
 
Teeeeeeeeee teeeeeee nmecheka San leo na kunifany nipunguze japo machungu bravo arusha viva lema
 
Ha ha ha ha........aisee........kifo cha Mende kibaya jamani.......
hivi kwa Arusha......hata kama hujui kusoma........picha huelewi......hata harufu huhisi........nafwaaaaaa......

Mkuu mishipa ya ufahamu imeziba, Monaban anatakiwa akatoe sadaka ya shukrani kwa kufanikiwa kupata 50% ya kura dhidi ya Lema.

Jamaa angepata aibu ya mwaka 25.10.2015 kama tungefanya uchaguzi.
 
Kweli Chizi sio hadi avue nguo!

Zamani.............. ilikuwa mtu anaanza kuwa chizi halafu anaokota makopo
Siku hizi............. Mtu anaanza kuokota makopo, halafu taratiiibu anakuwa na mavazi ya machizi, then chizi kamili...

Mwisho
 
Wanaukumbi

Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Aliyekuwa mgombea wa ccm Arusha mjini Philemon Mollel ameshusha tuhuma kuwa Godbless Lema ameiba kura ndiyo maana ameshinda.

'kuna gari lenye kura limekamatwa ila lilitoweshwa baadaye..'

Source: channel ten
Anapima upepo unaendaje,anajua kuwa kura zile zilikuwa zimbebe yeye na waliokuja nazo anawajua leo vipi adai kuwa lema ndio mwizi wa kura ,
 
Mkuu jumbo la Arusha gumu sana hata mngegombea maCCM wawili dhidi ya Lema msingeshinda kwanza we we hats hizo kura ulizopata in za wizi Wa ccm
 
Mkuu mishipa ya ufahamu imeziba, Monaban anatakiwa akatoe sadaka ya shukrani kwa kufanikiwa kupata 50% ya kura dhidi ya Lema.

Jamaa angepata aibu ya mwaka 25.10.2015 kama tungefanya uchaguzi.

Tungefanya uchaguzi wa mbunge siku hiyo.......angepata kura za kina mama kitumbua na Tojo peke yake.........ana bahati sana............
 
Hahaaha yaaaaan huyu ndo hewa kabsa.....tena hzo alzopata ni bahat watu walkua wamepoteza matumain...ndo tukapga kura wachache ..yaaan angeptwa kwa kura zaidi ya lak 2
 
Back
Top Bottom