moja ya udhaifu mkubwa wa mwanamke!

Unaposema kudhalishwa unaongelea wale ambao hawakuwa wamepanga kuzaa, wapo wanawake wanaozaa kwa kupenda na wenye uwezo wa kulea na kutunza na hawana mpango wa kuolewa wala kushirikiana malezi na mwanaume.....!!

Hapa ndo unapokosea..Unajua madhara unayoyaleta kwa mtoto, kama hataishi na baba yake (bila sababu ya msingi kama kifo)...

Ndo maana kwenye baadhi ndoa mwanamke akishapata nafasi kiuchumi, ndoa inayumba. You don't 'feel' the need of man...

It is morally wrong
 
You have serious problems! I can't believe this is from you, a woman. Probably that economy status of yours is giving you this kind of attitude. It is much worse than you think.

let her be...........................kwani attitude yake inakupunguzia nini wewe??mbona mnapenda kuwaatack watu na kuwafanya wafeel worthless???great thinker kama unacricize mtu fanya hivyo biia kumuatack personally....
 
How do you define 'attacking'??
 
Hapa ndo unapokosea..Unajua madhara unayoyaleta kwa mtoto, kama hataishi na baba yake (bila sababu ya msingi kama kifo)...

Ndo maana kwenye baadhi ndoa mwanamke akishapata nafasi kiuchumi, ndoa inayumba. You don't 'feel' the need of man...

It is morally wrong

Si lazima niwe sawa.....na daima siwezi kuwa sawa kwenye kila kitu....madhara ya kulea mtoto bila baba nayajua vizuri na do not tell me anything to do with morals......mwanangu haihitaji baba mzinzi,mgomvi,muongo,asiyejali watoto wake na wala asiyekuwa na muda wa kutosha wa kumtunza mtoto wake wala asiyeweza kumjenga mtoto wake kuwa mtu anayejiamini kwenye maisha....si ishu ya nafasi ya kiuchumi, its all about what you call morals of today's most fathers.....!!! As a single mother i will do anthing for my kids knowing am to blame if anything goes wrong with my kid rather than having a father who is just useless and the best he could do was donating his sperms to me and i got that kid!!
 
You have serious problems! I can't believe this is from you, a woman. Probably that economy status of yours is giving you this kind of attitude. It is much worse than you think.

Rangi Mbili
If you can, and are willing please take some time and substantiate this!
 
That's my girl....Superb.....You have spoken my mind!!:A S-rose:

Thank you Michelle. Hope you dont mind me saying this............"I do think that our thought process is somewhat similar" at least from all your inputs I have been reading and had a chance to read so far.
 
Mungu atusaidie wote tuliozaa bila ya kudumu na tuliozaa nao yote haya ni makosa ya kibinadamu na wote wanapaswa kutubu kwani ongezeko la migogoro, chuki, uhasama vinakua kati ya hao wawili waliotendeana hivyo
 
let her be...........................kwani attitude yake inakupunguzia nini wewe??mbona mnapenda kuwaatack watu na kuwafanya wafeel worthless???great thinker kama unacricize mtu fanya hivyo biia kumuatack personally....

Saaly:
Thank you for standing up for me. Ila worry not since my selfworth feelings are still intact. Personal attacks like those with no merit and/or data to back them up, are usually nothing but______________to me.
 
Si lazima niwe sawa.....na daima siwezi kuwa sawa kwenye kila kitu....madhara ya kulea mtoto bila baba nayajua vizuri na do not tell me anything to do with morals......mwanangu haihitaji baba mzinzi,mgomvi,muongo,asiyejali watoto wake na wala asiyekuwa na muda wa kutosha wa kumtunza mtoto wake wala asiyeweza kumjenga mtoto wake kuwa mtu anayejiamini kwenye maisha....si ishu ya nafasi ya kiuchumi, its all about what you call morals of today's most fathers.....!!! As a single mother i will do anthing for my kids knowing am to blame if anything goes wrong with my kid rather than having a father who is just useless and the best he could do was donating his sperms to me and i got that kid!!

Mmh..siwezi kukutalia moja kwa moja,
ina maana una uwezo wa kupredict tabia ya mwanaume bila kuishi naye???
To me, this has got do with our selfishness, and not being ready to take responsibilities..wanaume pia hawapendi kuzaa na mwanamke mwenye tabia kama ulizo orodhesha hapo juu?
Why are you ready to be pregnant and not want to live with the man?
 
Thank you Michelle. Hope you dont mind me saying this............"I do think that our thought process is somewhat similar" at least from all your inputs I have been reading and had a chance to read so far.
ha ha haaaaaaaaa......sometimes i ask over myself if you have experienced the life that I have, because they say, experience and life is the best teacher and our judgment reflects our experiences or what life has skilled us..... I earnestly think you are brilliant, confident and admire that.....:A S-rose:
 
Mmh..siwezi kukutalia moja kwa moja,
ina maana una uwezo wa kupredict tabia ya mwanaume bila kuishi naye???
To me, this has got do with our selfishness, and not being ready to take responsibilities..wanaume pia hawapendi kuzaa na mwanamke mwenye tabia kama ulizo orodhesha hapo juu?
Why are you ready to be pregnant and not want to live with the man?
Nina uwezo huo, na si mimi tu,wapo wengi tu wenye uwezo huo....sema wanakubali ndoa kwa kuwa wameshazaa au umri umeenda au kutafuta heshima kutoka kwa jamii au kwasababu za kiuchumi au kutojiamini......i can handle the product of me and a man but i can not handle an old useless man!!
 
Mimi naona bora mwanamke mwenye watoto hata kama hajaolewa kuliko mwenye ndoa bila watoto.
 
Back
Top Bottom