moja ya udhaifu mkubwa wa mwanamke! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

moja ya udhaifu mkubwa wa mwanamke!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kingxvi, May 21, 2011.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kuzalishwa huku hajaolewa!
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  vipi kuzalisha kabla hujaoa ?
   
 3. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  kingxvi:
  Can you pls advise why?

  NOTE:

  I totally disagree with you because:
  • In this day and age Marriage is not everything nor is it for everyone.
  • Besides If a lady has it together, ataweza "kuoa" yeye instead !Na jinsi kaka zetu wa siku hizi mlivyo kama.............................
   
 4. T

  The Priest JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wanaume c ndio washenzi,2nawazalisha afu hatuwaoi,unawaondolea ndoto yako,wanawake wanapenda sana kuolewa.
   
 5. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sikubaliani! na asipoolewa je na yeye anataka kuzaa, asizae kwa hofu ya kuonekana mdhaifu? actually mimi nadhani hiyo ni strength waliyonayo wanawake against us. sisi hata iweje, huwezi kupata mtoto bila kupita kwa mwanamke fulani na ambaye inabidi akubali kuzaa nawe. but kwa wenzetu wanaweza pata mtoto bila ya hata sisi kujua. na with the coming of the sperm banks, wanaenda tu hospitali na kupata mtoto.

  ndoa na mtoto ni vitu viwili tofauti na sio lazima viambatane mara zote
   
 6. z

  zamlock JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,850
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kulalwa bila condom huwa wanakuwa na udhaifu wa kumwamini kila mwanaume anapokuwa amemlalia juu ya kifua
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,136
  Likes Received: 1,517
  Trophy Points: 280
  Inategemea huyo alozaa kama alipanga au bahati mbaya. Kuna makabila nayajua mwanaume aruhusiwi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Kuna mengine pia nayajua mwanaume akioa mwenye mtoto basi mtoto anakuwa wake. Kwa hiyo inategemea unaongea from which point of view.

  Ila kama mtoto hakuwa kwenye plan I agree kuwa kuna uwezekano mwanaume utakayekuwa naye next akakutreat the same. Kuna ile hali ya kusema kama wenzangu walimzalisha hawakumwoa why me? It is all about African culture. Ila hata wadhungu wapo wasopenda watoto wasio wao. Yaani aliyekupitia amehacha stamp.
   
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,136
  Likes Received: 1,517
  Trophy Points: 280
  Naomba ku defer. Wanawake asilimia kubwa Tz bado wanapenda sana kuolewa. Na ambao hawajaolewa wengi ukiwauliza watakwambia hawajabahatika kupata Mr right!

   
 9. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ,

  sidhani kama ni udhaifu maana kuzaa si lazima uwe umeolewa au umeoa ni baraka na kudra za mwenyezi mungu
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,443
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  (kuzalishwa au kuzaa), anyway hilo sio tatizo, tatizo nipale mwanamke anapomtega mwanaume akidhani kuzaa ndio loop ya kuolewa, ukimkosa huyo bwana, you need an extra quality to get married. lakini kama mko open na serious, that is what we need nowadays. Tunasema mbuzi hauzwi kwenye gunia mkuu
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unaonaje udhaifu wa wanaume ukiwa ni KUZALISHA NA KUTUPA DAMU ZAO??
   
 12. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Kupenda kuolewa does not make ones lack of marriage a weakness. Further more, I personally think If not for our culture and society "Ndoa ni Heshima", then Im sure they could've just been fine!!!!!!!!!!

  NOTE:


  Hata mimi napenda kuolewa but that does not mean
  • I think anyless of single mothers. Come to think of it I actually do admire some of them!
  • I'll just settle for any tom, dick or harry so I can walk down the muchly awaited/longed for aisle
  • I value life/self anyless than any of my married friends
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sasa hapo udhaifu ni nini?
  Kuzaa au kutokuolewa?? Je na kama m/ke ameamua mwenyewe kuzaa ila hataki kuolewa?
   
 14. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,053
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hakuna noma kabisa na in fact ina-exemplify kwamba wewe ni dume. Sorry kama nimekukwaza, halikuwa lengo langu.
   
 15. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,053
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mmmhhh, naona kama umekuwa muwazi zaidi! Sijui ndivyo ulivyokusudia!!??
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  That's my girl....Superb.....You have spoken my mind!!:A S-rose:
   
 17. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hilo neno mkuu
   
 18. Rangi Mbili

  Rangi Mbili Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You are right! I believe this is from you, strong woman. This is what we need from women.
   
 19. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii mitego bado ipo sana.Ukisema nitalea mwanangu,lakini sitaki kuoa,familia yote itakuchukia!Miye nikiona demu 'macho juu',anataka kufosi kingi,kila nikimaliza kupiga bao,namuonyeshea ndomu.Unaona ndomu;ehhh,Unaona uji ulivyojaa ndani:eehhh,kwahiyo haikutoboka siyo:eehhh.Ok poa
  Nilijifunza kwa demu mmoja-nilikuwa nagonga kwa ndomu muda wote.Heh siku akanijia eti i have missed my period.Bibiye kulikoni mbona tunatumia kinga?Ndiyo hivyo tena,but you will be a good dad..
  Shiit nilitamani nimmeze mzima mzima!
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Unaposema kudhalishwa unaongelea wale ambao hawakuwa wamepanga kuzaa, wapo wanawake wanaozaa kwa kupenda na wenye uwezo wa kulea na kutunza na hawana mpango wa kuolewa wala kushirikiana malezi na mwanaume.....!!

  Sioni tabu wala kuwa ni udhaifu kuzaa kabla ya ndoa as long as nina uwezo na nguvu ya kulea mwanangu!
   
Loading...