Moja ya bweni la shule ya kikwete hapo kibaha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
IMG_0138.JPG
Hii ni moja ya bweni ya shule ya JK hapo kibaha sikuamini, mpaka nilipo ona sare zimeanikwa..

=====
mkuu hii imepigwa picha kwa nyuma but hiyo nyumba ya udongo unayoiona ndo yenyewe ilikuwa darasa siku hizi imepangishwa kama hostel binafsi kwa wanafunzi wanaokaa mbali na shule ya sekondari Makurunge
 
wew hii shule ipo kisarawe bana aeneo ya makurunge hivi ila siku hizi haitumiki imeshafungwa mkuu ama kuna nyingine tena? na ilijengwa ya muda tu mpaka madarasa yalipokamilika basi wanafunzi wakarudi kwenye shule yao
 
Sorry gfsonwin, hapo shule iwapi? Au bweni li wapi hapo?
 
wew hii shule ipo kisarawe bana aeneo ya makurunge hivi ila siku hizi haitumiki imeshafungwa mkuu ama kuna nyingine tena? na ilijengwa ya muda tu mpaka madarasa yalipokamilika basi wanafunzi wakarudi kwenye shule yao
Mkuu mimi siyo mwenyeji sana ila mtu niliekuwa nae ndiyo alinipa taarifa hizo asante sana kwa ufafanuzi wako lakini haija fungwa maana kabla sija piga picha kulikuwa na wanafunzi wana fua nguo baada ya kuona gari limesimama na tunajiandaa kupiga picha walikimbia sasa kama imefungwa sare za nini..
 
nafikiri hawa ni wanafunzi wanaoish hostel yaani wanatoka mbali so wanapanga nyumba za jirani ili kuwa karibu na shule na ni ukweli kabisa imepangishwa wanafunzi kama hostel binafsi
 
bweni ni hiyo nyumba ya kushoto mwa izo sare na shule ni ile inaonekana kwambali kwa maelezo niliyopewa...

Mkuu,naona aibu kuwaambia 'wageni' kwamba haya ndio matokeo ya miaka 50 ya uhuru. sasa hapo ni stone-throw distance kutoka makao makuu ya wizara husika, je huko ileje, kasulu n.k. hali itakuwaje?
Just Thinking Loud!
 
nafikiri hawa ni wanafunzi wanaoish hostel yaani wanatoka mbali so wanapanga nyumba za jirani ili kuwa karibu na shule na ni ukweli kabisa imepangishwa wanafunzi kama hostel binafsi
Umeonyesha unaifahamu vizuri shule hii, lakini kama vile unataka kuficha vitu..
 
mhhhhh siamini macho yangu kama nyumba hiyo ni bweni la wanafunzi .Katika elimu tuna kazi kubwa kutoka hapa tulipo
 
watu wenye damu ya kijani huwezi kuwaambia lolote maana licha ya kofia siku hizi kuna na ubwabwa kabisa,umasikini wa fikra ni baba ya umasikini wote ulimwenguni.mungu usitunusuru.
 
Back
Top Bottom