Moja haikai mbili haisomi

MUNGU akimpenda huyu jamaa itakuwa poa sana,

ene wei mapenzi yake yatimizwe hapa duniani . . . . .
 
huyu mzee anaharibu tu kila inavyoitwa leo
 
presha inapanda presha inashuka ,.... akome kujitia mjuaji
 
He finally decided to choose side. Anahitaji kupita kwenye kura za maoni za zile mbio za mwakani,ndio Maana kaamua kuwatosa watanzania na kuchagua matakwa ya CCM
 
Halafu nimemsoma sehemu huyu mzee kua kamchmibia mkwara mkewe Margareth Sitta kua ole wake angekosea kupiga kura pangechmbika home!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…