Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela

When will they Practice what they preach? (Democracy)
 
Ewe afrika uko wapi uhuru wako
Ni sawa kukata kuni lazima uwe na kipande cha mti ndivyo tulivyo waafrika wakoloni wameondoka lakini bado hatujui hata tulifanyalo watoto wetu wako taabani tuliwaamini viongozi wetu ambao akili zao zimeishia kwenye kujilimbikiza mali MAGARI MAJUMBA NA UROHO WA MADARAKA uchaguzi ukikaribia kama hivi ndio wanakuja kwetu kweli afrika huu ndio uhuru tulioutaka kutoka kwa wakoloni?
 
Kweli Ikulu kutamu. Huyo dogo presdaa alipigana vita ya msituni kumuondoa madarakani Mabutu seseseko kwa kisingizio cha kupigania demokrasia lakini baada ya kuonja bata pale ikulu anaanza kuisigina tena demokrasia ile ile aliyoipigania. Sisi TZ tumechoka kupokea wakimbizi jamani mtuonee huruma, aah!
 
Mahakama ilimpa ruhusa kwenda kwenye matibabu..

Halafu siku ya hukumu mahakama inamtaka awe mahakamani


Afrika tuna laana!

ushindwe hakika AFRICA hatuna laana ni mpito tu! tuombe kwa MWENYE ENZI MUNGU atupe hekima na busara! mdomo unaumba....
 
wewe hujawahi ona faini ya milioni 6 dolla, **** uwanaume, mimi mwenyewe ningekimibia

Jamaa pesa ipo, hapo alitakiwa apambane, au a give up kugombania lakini siyo kukimbia, giyo fine atalipa tuumali zake nyingi zipo DRC unless otherwise aqe ameenda kujipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…