Kiume Afrika???Kumekucha DRC, inawezekana kabisa ni uoga umemkimbiza, Katumbi hakutakiwa kukimbia nchi, angekaa afight kama mwanaume
Kumekucha DRC, inawezekana kabisa ni uoga umemkimbiza, Katumbi hakutakiwa kukimbia nchi, angekaa afight kama mwanaume
hahahaha tena isome 1716 BCTIA; This Is Africa
Africa tunatakiwa tuwe na kalenda yetu, hutustahili kalenda zetu kusoma 2016... No way, sio sahihi kabisa, turudishe angalau miaka 300 nyuma isome 1716