7.7 m kwa alietoka direct from school, je mwenye miaka 30 ya uzoefu analipwa shilingi ngapi?
Tafakari chukua hatua
say no to boycott, say no to mob psychology
say yes to humanity, say yes to logical thinking
Nadhani this time Kikwete ndo atatafuta mwajiri mwingine na si madaktari.
Huu mwaka ulianza na mgomo na utaisha na mgomo.
Ili iweje??Hadi kikwete atakapowapigia magoti madokta
7.7 m kwa alietoka direct from school, je mwenye miaka 30 ya uzoefu analipwa shilingi ngapi?
Tafakari chukua hatua
say no to boycott, say no to mob psychology
say yes to humanity, say yes to logical thinking
Afya ya binadamu yoyote ni muhimu na katika binadamu hakuna aliye wa zaidi kuliko mwenzake na ndiyo maana wote hufa na baada yahapo kwenda kwa Mungu ama motoni kwa tunavyo amini na ndivyo ilivyo,ila Zaidi Ulimboka ni Kiongozi wa MAT na ni dokta mwenzao hawakufurahishwa na kilicho mkumba na mazingina yalivyokuwa.Kwani afya ya Ulimboka ni muhimu sana kuliko afya za wagonjwa walioko hapo muhimbili?
Msimamo mbona JK aliisha utoa kwenye hotuba yake ? alisema hawana haja yakugoma na kumsumbua mwajiri kuwaandikia barua nk, wao waache kazi waende kwenye maslahi bora wayatakayo, shida iko wapi ? na kwa nn usiwashauri wafuate ushauri wa Rais wakuacha kazi?
Hadi kikwete atakapowapigia magoti madokta