Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,221
- 18,292
Nimesema konyagi nachanganya na sprite ila sinywagi soda Mimi😂😂😂😂😂Soda unasema ni vigumu mkuu
Nimesema konyagi nachanganya na sprite ila sinywagi soda Mimi😂😂😂😂😂Soda unasema ni vigumu mkuu
Ntajaribu nioneChukua LIME WATER INAKUA POWAAAA
Leo Kuna foleni sanaaaaaaSafari hatoboi naaapa aaah
Khaa unakunywa konyagi mkuu..Nimesema konyagi nachanganya na sprite ila sinywagi soda Mimi
Foleni Kuna mtu namsubr niende kariakoo naona mpk napata homa, ananiambia Kuna Jam duuh,Leo Kuna foleni sanaaaaaa
Mimi akina Marehemu Garden Habash na Kibonde walikuwa wananishawishi wakiniwekea ileHaaahaa SAFARI LAGER BEER 🍻 🍺 ZINAKUFAAA
Ndiyo ndiyo mkuu hiyo hiyoKhaa unakunywa konyagi mkuu..
Kumbe bapa ndo konyagi..
Ile ipo kama maji.hvi nyeupe peee
Ilala kaka balaa foleni mpaka nimechokaaFoleni Kuna mtu namsubr niende kariakoo naona mpk napata homa, ananiambia Kuna Jam duuh,
Uko wap mzee
Njoo kiumeni zaidiHii ni bia niipendayo.
Ila baada ya Magufuli kutokomeza viroba nilisikitika kama kuku mwenye kideri.Njoo kiumeni zaidi
Konyagi kali sana mkuuNdiyo ndiyo mkuu hiyo hiyo
Konyagi na kvant ipi boraKonyagi kali sana mkuu
Viroba ndo kvantIla baada ya Magufuli kutokomeza viroba nilisikitika kama kuku mwenye kideri.
Viroba vilikuwa vyangu kwelikweli 😎.
Hajambo dory na aliyewasha dawa za mbu!Wakuu naweka simu chaji
Maana ipo 21%
Ikijaa nataka kuona mmeleta na pisi zenu humu..
Sasa ole wenu mtu amlete mshangz huku MOI
Haha napambana anipe uwaziri nishaona urais anapata.Aahahahha sasa hv hatuendi na YAKUZ bin YAVUZ now ni kuwa machawa wa dennis tuu
Yeah, pamoja Zed, Samson na nyinginezoViroba ndo kvant
Hbr za Mombasa KenyaYeah, pamoja Zed, Samson na nyinginezo
Muumba anajalia tuna pumzi na tunakimbizana na maisha.Hbr za Mombasa Kenya
Uchawa tu unawasumbua. Kwa nini hamjaenda Katavi?