Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Mkuu humu tutakua tunapea update mbali mbali za mitaa na hali ya hewa kiumjumla wenyewe si wanafanya hawahoniSasa huu Uzi tunaugeuza kama PM yetu maana wenyewe hawajibu.
Ngoja niwaongeze watu.
Dr am 4 real PhD Monetary doctor karibuni katika meza ya duara.
Kuna jamaa anasema et dennis ni vishu ahaahahahhDenis ataleta uwongo uwongo π
Dactar kwema lakiniUlipo tupo
TupoUlipo tupo
Mimi naomba bapa na sprite na tubarafu kadhaa,Sasa huu Uzi tunaugeuza kama PM yetu maana wenyewe hawajibu.
Ngoja niwaongeze watu.
Dr am 4 real PhD Monetary doctor karibuni katika meza ya duara.
Kuna mwingine alienda mbali na kusema Denis ni Lamomy π ila watu jamani...Kuna jamaa anasema et dennis ni vishu ahaahahahh
Ahahaha sio energy mkuu
Nipo powa ndugu yangu mzima wewe naona niunge mkono hojaa na juhudi za RAIS wetu ajayeDactar kwema lakini
Ipo poa sanaaaTupo
Moi navyojua ni taasiis iliyopo chini ya hospital kuu ya Muhimbili inayoshughulikia mifupa na viungo viendanavyo na mifupa
Dry siwezi Mimi nipo very soft siwezagi izo ngumu kumesaaa π
Hahahaha me naekaga na hizi sprite, sana sana naweza maliza kile kidogo π.... Dry hpn aseehDry siwezi Mimi nipo very soft siwezagi izo ngumu kumesaaa π
Ahahaha nani Robert auπππππNipo powa ndugu yangu mzima wewe naona niunge mkono hojaa na juhudi za RAIS wetu ajaye
Hatimae uzi umevamiwa na vijana hovyo kwa mwaka wa bajet 24/25 πππππππHivi wakuu, kwamfano nina mfupa nataka kuuza ni bei gani?
Hapana natumia soda jamii ya sprite, saba juu, na zile soda nyeupe krest i thinkAhahaha sio energy mkuu
Mimi Sana Sanaa natumia Lime water ama ukwaju ama tangawizi ama energy drinkHahahaha me naekaga na hizi sprite, sana sana naweza maliza kile kidogo π.... Dry hpn aseeh
Yaaani lamomy na dennis ni moja πππππππKuna mwingine alienda mbali na kusema Denis ni Lamomy π ila watu jamani...
NGoja ujibiwe na mashangazi yako, sijui utagegeda vipiHivi wakuu, kwamfano nina mfupa nataka kuuza ni bei gani?