ndewelo
Mbona husemi kwamba wananchi hao hao waliingia barabarani na kuanzisha maandamano ya kutaka morsi atolewe? Mwaka mmoja aliotawala Morsi coptics walikua wanauawawa na makanisa zaidi ya sabini yalichomwa moto. Kilichokuja kupigilia msumari ni pale Morsi alipotaka kubadili katiba kwa kutaka raisi (yeye) awe juu ya muhimili wa mahakama. Watu wakaandamana, jeshi likampindua.
Umesahau yote haya, Aljazeera, CNN, BBC walionyesha sana haya matukio mbona au walikua Waisraeli wanaigiza?
al sisi amejaiokoa misri ilikwisha anza kuparaganyika
amefanya kazi takatifu, historia itambeba daima
wamisri walimuitaji sana mtu katili atakayefutilia mbali ushenzi wa MOSRI na mungu amewapatia al-sisi asiyeogopa ujinga na anayechukizwa na upuuzi