Mohammed Hussein athibitisha kuondoka Simba

Seriously watu wanalaumu Mohammed Hussein kuondoka Simba as if kuna kitu cha tofauti anakuja ku offer
 
Kama anaenda Yanga ,msimu ujao Yanga italua moto sana aisee inaweza fika Nusu au fainali Ya CAF
Kwa kupitia hiyo aga yake tu, ni wazi anaenda Yanga. Kwa umri wake sidhani kama ana mpango wa kutoka nje ya mipaka ya nchi.

All in all, namtakia kila la heri kwenye majukumu yake mapya. Kimsingi hana deni simba. Amecheza kwa kujitoa na na kujituma kwa miaka yote hiyo 11! Ni mchezaji mwenye nifhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja! Hana makuu.

What a player!
 
Source?

Edit: nimeshaona kweli kaaga

Yanga huu ni mtego, sajilini wachezaji wenye njaa achana na hao kina zimbwe hayo ni mambo ya kukomoana na Simba tu
Mimi sioni kama Yanga ina makosa. Mchezaji amemaliza mkataba, na inawezekana alihitaji changamoto mpya. Na ukija kwa Yanga, ni ukweli ilimhitaji beki mzawa, na wa kiwango cha Zimbwe kwenye hiyo nafasi ya ulinzi wa kushoto ambayo msimu uliopita ilikuwa uchochoro mara tu baada ya Boka kuumia.

Kibabage alionesha mapungufu makubwa kwenye ukabaji. Binafsi naunga mkono usajili wake. Labda kama ingekuwa ni rahisi kumpata Pascal Msindo kutoka Azam, sawa! Ila kumpata mchezaji wa kiwango cha Mohamed Hussein, tena akiwa ni free agent! Maana yake Yanga imeokota dodo kwenye mpera.

Huyu jamaa bado ana misimu kadhaa ya kucheza kwa kiwango cha juu kwenye ligi yetu, kutokana tu na namna anavyo jitunza nje na ndani ya uwanja.
 
Ndiyo maana nasema watanzania ni wanafki wakubwa. Leo mmenusa anakuja kwenu mmeanza kumsifia.
 
Upo sahihi kabisa. Simba itaendelea kuteseka kwa Zimbwe kuwa ndiye captain (kama ambavyo misimu hii miwili ya mwishoni iliteseka kwa ucaptain wa Bocco), kwa sababu wanapata ugumu kumpa captain sub au kumuanzia nje. Yupo yule dogo mwingine mpya aliye bora kuliko yeye ila sitegemei kama atakuja kupewa nafasi, kila siku tutabaki kulia tu "Zimbwe anahitaji mbadala", halafu wakija hao mbadala wanasugua benchi hadi wanaachwa.

Pia juzi nilisema Che Malone ndiye atakayeamua mafanikio ya Simba msimu huu.

Mmoja wa wachezaji ambao Hersi anawamezea mate ni Zimbwe.

Makosa na madhaifu ya Zimbwe yamekuwa ni haya haya kwa muda mrefu. Hili tatizo la kuacha mtu wake nyuma yake kama lililozaa goli la leo la pili nimelisema saana. Amefanya hili kosa sana tu, naweza kurudi hadi mechi na Jwaneng Galaxy ya Mkapa 3-1, nadhani lilikuwa goli la 3.

Kwa upande wangu amekuwa the weakest link ya Simba kwa muda mrefu sana.

Ukweli ndiyo huo. Zimbwe lazima atakuja kuchezea Yanga hata kama atakuwa na miaka 40. Hili nimeshawahi kulisema kitambo.
Hayawi hayawi yamekuwa. Kalpana unaonaje kinachoendelea hapo Msimbazi?
 
Mimi sioni kama Yanga ina makosa. Mchezaji amemaliza mkataba, na inawezekana alihitaji changamoto mpya. Na ukija kwa Yanga, ni ukweli ilimhitaji beki mzawa, na wa kiwango cha Zimbwe kwenye hiyo nafasi ya ulinzi wa kushoto ambayo msimu uliopita ilikuwa uchochoro mara tu baada ya Boka kuumia.

Kibabage alionesha mapungufu makubwa kwenye ukabaji. Binafsi naunga mkono usajili wake. Labda kama ingekuwa ni rahisi kumpata Pascal Msindo kutoka Azam, sawa! Ila kumpata mchezaji wa kiwango cha Mohamed Hussein, tena akiwa ni free agent! Maana yake Yanga imeokota dodo kwenye mpera.

Huyu jamaa bado ana misimu kadhaa ya kucheza kwa kiwango cha juu kwenye ligi yetu, kutokana tu na namna anavyo jitunza nje na ndani ya uwanja.
Wewe huyoo ila wazee ni wanafiki sana...😃😃😃
 
Huo ndiyo ukweli. Na hakuna siku niliwahi kumponda Mohamed Hussein kama beki mbovu wa kushoto. Kwa hiyo hakuna unafiki hapa! Ingawa ni ukweli kuna mechi moja ya derby aliwahi kugeuzwa kama chapati na Stephane Aziz Kii.
 
Ndiyo maana nasema watanzania ni wanafki wakubwa. Leo mmenusa anakuja kwenu mmeanza kumsifia.
Lini tulimponda? Au kwa sababu nyinyi mnamponda, kwa hiyo na sisi tunatakiwa kuwaunga mkono?

Msimu uliopita baadhi ya mashabiki wa Yanga tuliulalamikia upande wa kushoto wa timu yetu na hasa baada ya Boka kuumia! Kibabage alikuwa ni dhaifu. Viongozi nao waliliona hilo tatizo na kuamua kumsajili Zimbwe Jr ili kumpa changamoto Boka! Halafu unatuita wanafiki!! Tuache tupongeze usajili wa timu yetu kwa uhuru, ok?
 
Huo ndiyo ukweli. Na hakuna siku niliwahi kumponda Mohamed Hussein kama beki mbovu wa kushoto. Kwa hiyo hakuna unafiki hapa! Ingawa ni ukweli kuna mechi moja ya derby aliwahi kugeuzwa kama chapati na Stephane Aziz Kii.
Wanafikiii...wakiwa Simba wazee wakija kwenu wako boraa...
Kuleni mabaki hayo
 
Back
Top Bottom