Alipoenda kachukua?Hajawahi kuchukua makombe 5 kwa msimu mmoja
Alipoenda kachukua?Hajawahi kuchukua makombe 5 kwa msimu mmoja
Kwa kuondoka huyo?Simba kama Man U tu
Wakiwa Simba wanaitwa wazee na "takataka", wakiachwa na Hersi akionyesha kuwataka wanageuka luluWanafikiii...wakiwa Simba wazee wakija kwenu wako boraa...
Kuleni mabaki hayo
Unajua kabisa sina uwezo wala muda wa kuanza kufukunyua nyuzi kutafuta mahali uliposema Zimbwe ni mbovu.Lini tulimponda? Au kwa sababu nyinyi mnamponda, kwa hiyo na sisi tunatakiwa kuwaunga mkono?
Msimu uliopita baadhi ya mashabiki wa Yanga tuliulalamikia upande wa kushoto wa timu yetu na hasa baada ya Boka kuumia! Kibabage alikuwa ni dhaifu. Viongozi nao waliliona hilo tatizo na kuamua kumsajili Zimbwe Jr ili kumpa changamoto Boka! Halafu unatuita wanafiki!! Tuache tupongeze usajili wa timu yetu kwa uhuru, ok?
Hao sio wachezaji wa kutufikisha popote ndio maana tumewaacha. Mohamed Hussein yupo Simba miaka yote lakini nibmwendo wa robo fainali Tu. So waliohitajika wamebaki wacha vyuma virtueYanga timu tayari wanayo ila hapo wanafanya maboresho kwa muda mrefu sasa nchi yetu haijawahi pata beki bora wa kushoto kuliko Mo Hussein.
Bahati mbaya kila msimu timu yetu inaanza upya ona msimu huu ambao tunaambiwa kikosi kizuri tayari tushaacha wachezaji muhimu tena kikosi cha kwanza
Naupongeza uongozi wangu kwa kufukuza mizigo, vyuma vimesajiliwa, kuna paschal msindo na chuma kingine kinashuka tulia mwanangu Simba.Wamemuachia valentine nouma na sasa huyu tena?
Ana uhakika kama Dube na ChamaAlipoenda kachukua?
Wewe ni nani unaeijua kesho yako?Ana uhakika kama Dube na Chama