Mohammed Dewji: Si sahihi kusema Kada ya Kati imekua wakati sio kweli

Hakuna mtu au Tafiti yeyote ya WB au IMF inayosema hakuna umasikini Tanzania au Africa na pia unatakiwa kujua umasikini nao unaviwango vyake au grade zake na pia swala la kupanda daladala hata Europe au US kuna daladala au wanaziita Public Transport watu wanapanda na wanajaa na pia kuna subway watu wanajaa nyakati za asubuhi na jioni ok China ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi lakini ukienda kwenye Public Transport zao wanajaa kama sisi huku mpaka wengine wanasimama so kujaa kwenye daladala si kigezo kuhusu kugombania hakuna utaratibu wa upandaji wa daladala wangeweka kupanda ni kwa foleni hakuna tena kitendo cha kugombania

Kuhusu kununua maitaji yetu sokoni au magengeni ni mazoea tuliyozoeleshwa watanzania, nenda Malawi.Zambia,Msumbiji mpaka masikini ananunua vitu supermarket so nacho si kigezo pia Utafiti umefanyika na siku zote utafiti unapigwa kwa tafiti si maneno vigezo vya kuwa middle class Tanzania ni uwezo wa kutumia $2 mpaka 10 kwa siku wakati viwango vya Africa ni $2 mpaka 20 kwa siku na kwa Africa ni 34% ya watu wake ni middle class na pia mm nazunguzia kuongezeka kwa middle class si udogo wa middle class leo ukiulizwa middle class Tanzania wanaongezeka au wanapungua kulinganisha na mwaka 1990?? kwa videzo vya matumizi ya $2:10 utajibu nini?

Naona wewe unaandika kisiasa zaidi
 
Dah kweli watanganyika ni watu wabishi sana na bahati mbaya ni mabigwa wa kupinga Takwimu kwa maneno tu bila ya hoja Huwezi kulinganisha middle class ya nchi yenye GDP 16.77 trillion USD kwa mwaka ukalinganisha na yenye GDP ya 44.5 bn usd dah inashangaza sana na kusikitisha mtu anapopinga kwa kusema takwimu za kiuchumi na fedha duniani haziwekwi kwa usd nitajie takwimu yeyote ya World bank na International Monetary Fund wanayoitoa kwa Tsh au currency nyingine zaidi ya Usd dah pia ww unasema unaingiza $20+ kwa siku unataka kujua ww ni class gani nataka kukwambia kuingiza $20+ kwa siku ina maana ni mapato maana ya kuingiza wakati Classes zinazungumzia matumizi ya mtu mmoja sio familia sasa nashndwa kujua ya kwamba ujui tofauti ya matumizi na mapato?
Mimi sipingi takwimu za WB, kumbuka maneno ya Disraeli Benjamin, Lies, Damned Lies and Statistics. Na hakuna sehemu yeyote niliyosema kuwa napinga ya kwamba takwimu hutolewa kwa USD. Mimi nilikuuliza in actual sense, zina maana kwetu? Zina uhalisia?

Kuhusu mapato na matumizi na hizi takwimu zako, hebu fuatilia hizi links halafu uniambie wangapi tunakosea. Na ndio maana nikakuuliza, LEO HII MOHAMMED DEWJI AKIPUNGUZA MATUMIZI YAKE KWA SIKU NA KUFIKIA $17, ATAKUWA MIDDLE CLASS? Mbona hunijibu hili swali?

Kama takwimu zinachukuliwa kwa individual person, na hapa unaniambia 34% ya Waafrika ni Kada ya Kati, je na watoto ambao hawafanyi kazi wala kuingiza kipato chochote hawana athari ya hizo takwimu? Nataka nikupe angalizo, unavyowaona wabeba zege, mama lishe, walinzi, na wachuuzi huko mitaani, majority yao matumizi yao kwa siku yanavuka 5000, lakini nakuhakikishia, katika hayo matumizi yao, hawathubutu kununua tufaha au strawberry. Hawa ndio Kada ya Kati?

Pia nakwambia kuwa WB na IMF ndio wenye jukumu la kufanya utafiti na kutoa takwimu juu ya uchumi na maswala ya kifedha dunian na tafiti hzo zinafanyika kwa ajili yao si kwa ajili ya serikali bali ni kwa ajili yao katika maswala yao ya kidata sasa kuna haja gani kudanganya kwa utafiti unaoufanya kwa ajili ya matumizi yako? Pia nataka kukwambia wazungu wanaheshimu sana tafiti kwani kwenye tafiti ndipo unaweza panga mipango ya kimaendeleo au yakijamii
Asante sana hapo kwenye RED. Acha waheshimu tafiti, kama ulivyosema ZINAFANYIKA KWA AJILI YAO. To serve their purposes. Do you know their purposes? Fabrication sio lazima ifanyike kwenye makaratasi. Hata kuweka vitambuzi uchwara kwenye dodoso ni fabrication.

Hoja ilikuwa ni kuongezeka kwa middle class Africa ambao ni 34% ya waafrica karibia billion moja wanahesabiwa ni middle class pia nimekuchanganulia kwenye post iliyopita na hapa tatizo sijui ni nini uchumi wa Tanzania umekuwa ukikua kwenye sector ambazo si rafiki kwa wananchi na ndo maana watu wamekuwa wakibisha hata tafiti zinazofwanywa na taasisi za kidunia kama WB na IMF na bahati mbaya ni Tanzania tu ambapo tafiti zinapingwa kwa maneno tu leo uwezi feel kama uchumi unakuwa wakati unakua kwenye sector za MADINI,UTALII,BANKS,USHAFIRISHAJI,NA HUDUMA (HOTELS)
Sector ambazo zinachukua kundi la ajira kidogo sana lakini leo uchumi ungekuwa unakua kwenye viwanda na kilimo kila mtu angekubali nchi yeyote inayoitwa inamaendeleo backbone yake ni viwanda
Ndugu yangu, 34% ya Waafrika wanaofanya kazi au total population? Mimi nimefurahi tu uliposema hizi tawkimu ni kwa ajili yao. Kiukweli kwetu sisi ni utumbo usio na manufaa. Hebu mfikirie tajiri wa Kimasai na mamia ya ng'ombe zake, unamuita MIDDLE CLASS eti kwa kuwa anatumia 18,000 tu kwa siku. My friend, their life style na takwimu zako haviendani. You are very right, they are not for us.

Nijibu swali langu: Mohammed Dewji akipunguza matumizi yake kwa siku kufikia 17,000 tutamuita Middle Class?
 
Mimi sipingi takwimu za WB, kumbuka maneno ya Disraeli Benjamin, Lies, Damned Lies and Statistics. Na hakuna sehemu yeyote niliyosema kuwa napinga ya kwamba takwimu hutolewa kwa USD. Mimi nilikuuliza in actual sense, zina maana kwetu? Zina uhalisia?

Kuhusu mapato na matumizi na hizi takwimu zako, hebu fuatilia hizi links halafu uniambie wangapi tunakosea. Na ndio maana nikakuuliza, LEO HII MOHAMMED DEWJI AKIPUNGUZA MATUMIZI YAKE KWA SIKU NA KUFIKIA $17, ATAKUWA MIDDLE CLASS? Mbona hunijibu hili swali?

Kama takwimu zinachukuliwa kwa individual person, na hapa unaniambia 34% ya Waafrika ni Kada ya Kati, je na watoto ambao hawafanyi kazi wala kuingiza kipato chochote hawana athari ya hizo takwimu? Nataka nikupe angalizo, unavyowaona wabeba zege, mama lishe, walinzi, na wachuuzi huko mitaani, majority yao matumizi yao kwa siku yanavuka 5000, lakini nakuhakikishia, katika hayo matumizi yao, hawathubutu kununua tufaha au strawberry. Hawa ndio Kada ya Kati?

Asante sana hapo kwenye RED. Acha waheshimu tafiti, kama ulivyosema ZINAFANYIKA KWA AJILI YAO. To serve their purposes. Do you know their purposes? Fabrication sio lazima ifanyike kwenye makaratasi. Hata kuweka vitambuzi uchwara kwenye dodoso ni fabrication.

Ndugu yangu, 34% ya Waafrika wanaofanya kazi au total population? Mimi nimefurahi tu uliposema hizi tawkimu ni kwa ajili yao. Kiukweli kwetu sisi ni utumbo usio na manufaa. Hebu mfikirie tajiri wa Kimasai na mamia ya ng'ombe zake, unamuita MIDDLE CLASS eti kwa kuwa anatumia 18,000 tu kwa siku. My friend, their life style na takwimu zako haviendani. You are very right, they are not for us.

Nijibu swali langu: Mohammed Dewji akipunguza matumizi yake kwa siku kufikia 17,000 tutamuita Middle Class?
Unapopinga jambo lolote ni lazima kuwe na sababu za kutetea hoja yako unaposema takwimu zinadanganya ni lazima ueleze kwa nini zinadanganya ,au wanaotudanganya kwa takwimu wanafaida gani na uongo huo wanaotudanganya mimi nimesema takwimu za WB na IMF ni za kweli hawana sababu yeyote ya kudanganya nikatoa na sababu

1 kwanza jukumu la kushauri,kusimamia monetary policy dunian ni lao
so nilazima wafanye tatifi ili waweza kufanya kazi yao kwa weledi

2 Tafiti wanafanya kwa ajiri yao yani kwa matumizi yao si ya Tanzania au nchi yeyote so wanaweza kujidanganya wao?
pia WB na IMF ndio wakopeshaji wakubwa kwa nchi karibu zote dunian so ni tazima wawe na takwimu sahihi juu ya uchumi wa nchi fulani mfano wamekupa takwimu za uongo kuwa uchumi wako unakua wakt si kweli then kesho ukaenda kukopa kwao kuna bank yeyote dunian inaweza kumkopesha mtu ambae hawezi kurudisha mkopo????????

3 Dunia nzima utumia takwimu katika kupanga maendeleo,kuleta huduma,kuongeza au kupunguza kitu ,hata ktk mambo ya kibiashara,uchumi ,hospital,sehemu zote zinaitaji takwimu ktk kuendeleza au kuondoa jambo fulani
na ndo maana kila nchi ina taasisi ya Bureau of Statistics

Sasa kama unasema takwimu zinapikwa kumbuka WB na IMF wanatoa takwimu za mambo ya kiuchumi na maswala ya kifedha duniani si Tanzania au Africa peke yake je na Ulaya au America na wenyewe wanadanganywaga kama tunavyodanganywa sisi kwenye takwimu?

Na kama wangekuwa wanadangaya sijawai kusikia kuna nchi ikilalamika juu ya takwimu hzo hata kama report imetoka na ni mbaya kwa nchi hyo juu ya mambo ya uchumi au fedha sasa najiuliza nchi inawanauchumi wake na wanakubali report hata kama ni mbaya au labda wameambiwa uchumi wao umeshuka sana kwa nini wasipinge na kusema uchumi wetu uko vizri kwa kujikosha kwa wananchi wao??

Kitu kama ni cha uongo lazima kuwe na malalamiko sijawai kusikia malalamiko ya nchi yeyote dunian juu ya WB,IMF juu ya takwimu zao bali nmesikia malalamiko juu ya mahakama ya ICC sanasana lawama pekee walizonazo WB na IMF ni mikopo yao inamasharti magumu tu

Mkuu kwenye mambo ya uchumi hakunaga kitu kinachoitwa kwa (mfano au labda) kwenye dunia ya sasa ukisema mfano wako kuwa sijui Mo akitumia $10 kwa siku eti na yeye atawekwa kundi gani??? utaonekana upeo wako ni mdogo sana kwa kuleta concept ambayo aiwezekani akifanya hvyo atakuwa amejinyima tu mwenyewe ni kama waislamu wanafunga ramadhani si kwamba wanashinda njaa kwa vile hawana ela ya kununua chakula mchana bali wanafanya hvyo kama ibada tu
 
Unapopinga jambo lolote ni lazima kuwe na sababu za kutetea hoja yako unaposema takwimu zinadanganya ni lazima ueleze kwa nini zinadanganya ,au wanaotudanganya kwa takwimu wanafaida gani na uongo huo wanaotudanganya mimi nimesema takwimu za WB na IMF ni za kweli hawana sababu yeyote ya kudanganya nikatoa na sababu

1 kwanza jukumu la kushauri,kusimamia monetary policy dunian ni lao
so nilazima wafanye tatifi ili waweza kufanya kazi yao kwa weledi

Mkuu kwenye mambo ya uchumi hakunaga kitu kinachoitwa kwa (mfano au labda) kwenye dunia ya sasa ukisema mfano wako kuwa sijui Mo akitumia $10 kwa siku eti na yeye atawekwa kundi gani??? utaonekana upeo wako ni mdogo sana kwa kuleta concept ambayo aiwezekani akifanya hvyo atakuwa amejinyima tu mwenyewe ni kama waislamu wanafunga ramadhani si kwamba wanashinda njaa kwa vile hawana ela ya kununua chakula mchana bali wanafanya hvyo kama ibada tu
Mkuu, mimi sijasema kuwa taarifa zao ZINAWADANGANYA, ila nimesema ZINATUDANGANYA. Ikiwa mtu akitazama Sanaa ya Tinga Tinga kwa mara ya kwanza, bila shaka atasema, picha ile imekosewa au sanamu ile imekosewa, lkn katika uhalisia wake ndio hasa imepatiwa, yaani macho makubwa yasio na uwiano na kichwa huku pua ni kama kanukta.

Unanishangaza sana, tena sana unapojikabidhi kwa watu bila kutathmini unahitaji nini. Mimi naamini unajitoa fahamu, hakuna lolote usilolielewa hapa. Ni nchi ngapi za Afrika zilisaini mkataba na kuwa wanachama wa ICC? Ni nchi ngapi za Afrika sasa zinataka kujitoa ICC kwa kutokubaliana na namna ya uendeshaji wa shughuli zake dhidi ya Afrika? Salam aleikhum kwako wewe unayedhani wazungu ni Mungu. Kina Nkurunzinza walisaini mkataba wa Rome na sasa wanaukana baada ya kuwa hauna maslahi ya kisiasa kwao...POLITICS!

Unanishangaza sana ndugu yangu kuniambia WAO NDIO WANA JUKUMU BLAH BLAH BLAH....kwa hiyo leo hii IMF na WB wakisema Watanzania ni matajiri, unataka mimi niungane na wewe kushangilia huku sijala chakula cha mchana. Siwi middle class kwa kuwa WB wamesema, nakuwa middle class kwa uchumi wangu kukua.

Ndio maana nakwambia kuwa nikiwa na akili yangu timamu, hutakuja kuniambia stori za EXPENDITURE kuwa determinant factor ya utajiri wa mtu ikiwa kuna Mmasai ana ng'ombe 700 wenye thamani ya shilingi laki 4 kila mmoja halafu nimuite MASKINI kisa hajatumia $2 kwa siku.
 
Imani ni kitu kibaya sana mtu akiamini jambo ni ngumu sana kumuondoa ktk kuamini kwake itachukua miaka mingi sana mpaka wanasanyansi kuamini binadamu katokana na Adam na Eve na itachukua miaka mingi sana mpaka madhehebu ya Abrahamic religion kuamini binadamu wa kwanza alikuwa ni sokwe sasa bhasi inawezekana ww ukawa na imani inayokuongoza pia na mm nina kitu kinachoniongoza ok ww unasema takwimu (ZINATUDANGANYA. ) lakini sijaona sababu hata moja ya kusema kwa nn zinatudanganya mm nimetoa sababu zangu kwa nini nasema hazitudangayi sasa naomba na ww utoe sababu kutetea hoja yako ndivyo wanafanya watu wa dunia ya leo hata majibu ya YES au NO siku hzi hayakubariki ukisema YES watakuuliza WHY pia ukisema NO utaulizwa WHY

Nataka kukwambia kama leo nchi zote zingeachiwa kufanya tatifi zenyewe juu ya uchumi na fedha nakwambia nchi za kiafrica ziingekuwa zinasema uchumi wao unapanda kwa 80% kwa mwaka kwani viongozi wa Africa wanapenda kuonekana wanafanya kazi pia awapendi kuonekana wameshindwa nakupa mfano Idd amin aliwai kwenda kwa gavana wa centrol bank of uganda baada ya kuambiwa mzee uchumi ni mbaya na nchi imeishiwa fedha za kigeni so ndani ya wiki ijayo tutashindwa kuagiza maitaji nje ya nchi kwani unapoagiza mfano mafuta unalipa kwa dola idd amini alimwambia kwani atuwezi kuchapisha dola ?akaambiwa aiwezekani akasema bhasi chapisha uganda money gavana akamwambia ukifanya hvyo uchumi unakwenda kufa kabisa sasa nadhani unaona maamuzi na ufahamu wa viongoz wa Africa je kusinge kuwa na taasisi inayosimamia monetary policy ingekuwaje???

Ni sawa useme leo kusingekuwa na UN unadhani ingekuwaje kwa nchi nyonge dhidi ya nchi zenye nguvu?

Unaposema masai nataka kukwambia utajiri unapimwa kwanza kwa mali na fedha leo ukisikia Bill gate ana utajiri wa 45 Billion usd sio kwmba ni cash ni pamoja na mali zake ndo zinakuwa thamani hyo sasa kiuchumi uwezi kumwita mtu mwenye ng'ombe 400 ukamwita ni masikini kwa sababu rasilimali zinahesabika kama utajiri
 
Haloo! Uko sawa Mzee? Sasa ulibisha nini na saa hizi unakubali nini?

Kumbe unajua kuwa kuna Masai ambao hawajui dola lkn wana uchumi wao na wanaishi. Lkn hapo hapo unaniambia takwimu haziendi bila $.

Nimekupa mfano wa ICC na viongozi wa Afrika. Kama hukuelewa hapo, nikuongeze jambo. Unajua RAIS wa WB anapatikanaje?

Kuhusu sababu za kuziita takwimu ni za hovyo hata wewe unaweza kuziona ukifumbua macho. Achana na nadharia za magharibi: Middle Class asiyeweza kununua apple ni kiinimacho.

Kama ulivyosema, IMANI. Unawaamini sana wazungu kiasi hata sababu zikiwa wasi we utazikataa tu kwa kuwa mzungu kasema. Hebu Google ndugu yangu hata upate maoni ya wengine huko nje
 
Mi naonaf anayeingiza 20$ per day bado yupo low class maana hiyo ni kama 600k kwa mwezi naangalia ktk ujenzi fundi ujenzi anapata mpaka 30k per day na bado hatananii kabisa na middle class watanzania zaidi ya 85parcent ni low class
 
Hivi ukitumia 2$ kwa siku we ni middle class kituko yaani utumie tsh4500 per day uwe middle class si kweli we ni maskini kabisa hata gazeti huwezi afford na beer kwako ni kituo cha polisi
 
USAWA HUU YEYE SI POLITICIAN TENA. NI BUZINEZMAN PROFIT MAKER. ANAJILIMBIKIZIA. YEYE NA UKADA WAPI NA WAPI
 
JPM amefeli kabisa kwenye kunyanyua hali za maisha ya wananchi wake..

Na hii yote ni kwasababu ya kuiendesha nchi kwa mkono wa chuma.

Kupata watu wengi wenye kipato cha kati kwa Tanzania ni ndoto kubwa sana.
Ye Anataka tajiri awe shetani heheheeee
 
Back
Top Bottom