Mohammad Dewji shut that little mouth up!

Mtumeee
Kaaazi kweli kweli walahi
 
Utakufa na presha povu linakutoka kwa sababu ya roho mbaya, umaskini na ujinga. Huna tofauti na wale wasauz wanaobagua waafrika wenzao
 
Hawa Wahindi na waarabu wametuibia sana maana babu zetu walikuwa hawana elimu.Viongozi wetu nao walikuwa wanafiki nawabinafsi.Jiulize kwanini waarabu na Wahindi walipofika hapa walifikia Iringa,Rujewa,Igunga,Kahama nkna baadaye wakishapata utajiri ndio wanahamia Dares salaam?
 
Wamekuja wamekuta fursa wakazifanyia kazi wewe umekalia kulialia hapa, ukiona mtu anabagua kabila flani au watu flani kwa kufanikiwa ujue ni maskini wa akili
 
Hao Wahindi sio wapenzi was mpira bali wanatafuta umaarufu kupitia mpira.Kina Gulamali walipata Ubunge kupitia mpira na Wengine walipifanikiwa kiuchumi waliachana na mpira.Wahindi mchezo wao cricket sio football.
 
Hahaha hizi shida hizi....zitauwa watu...pambana mkuu
 
Ha ha ha povu ruksa[emoji1] [emoji1] [emoji2]
 
Wamekuja wamekuta fursa wakazifanyia kazi wewe umekalia kulialia hapa, ukiona mtu anabagua kabila flani au watu flani kwa kufanikiwa ujue ni maskini wa akili
Wao ndio wabaguzi wametuibia raslimali zetu kwa faida yao wachache.Utashangaa immigration wanakamata wahabeshi name wasomali wanaacha wahindi name waarabu ambao sio waafrika.
 
Kama umemchukia yeye personal je na maneno yake umeyachukia?
 
Chuki humchooma anaeihifadhi
- FID Q
 
Yeye sio self made billionaire,tofauti na akina Dangote.Hana cha kusema kwani alirithi utajiri huo,japo aliongezea.
 
tatizo ni lugha aliyoandika, mtoa mada haielewi, hizi saint kayumba zifutwe sasa
 
tatizo ni lugha aliyoandika, mtoa mada haielewi, hizi saint kayumba zifutwe sasa
 
Ni hatari mwanamke akiwa na chuki kiasi hiki
History haiwez kubadilika ila kumbuka future ipo mikononi mwetu rosemarie
 
Hoja za kijinga kabisa,sasa wazee wako waliokutangulia we we walishindwaje kutumia hizo fursa ambazo wazee wa mo walizitumia?Mi naona hoja zako zinatokana na njaa Kali mlionayo klabuni kwenu yanga, kwa sababu hutukuwahi huko nyuma kusikia maneno hayo kumwelekea bwana wenu Manji ilihali wote ni wahindi waliorithi Mali toka kwa wazazi wao ila wao wanaziendeleza tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…