Nahuja, njoo tufungiane kwa chumba tufundishane. Tukitoka kila mtu anajua kimombo..teh!!Maskini mie!! kutokujua kingereza hukuuu!!
Hivi ni kweli hiyo twiti ya Mudi imekaa vibaya kiasi cha kumtolea povu kiasi hicho?!!!
Alichukua anazungumzia kanye ni utumwa wa kiakili. Hata wazungu na waraabu wenyewe mababu zao walikua ni watumwa zamani lakini ni waafrica tu ndo hadi leo tunalaumu matatizo yetu kwa utumwa au ukoloni. Ndo mana kanye anasema "We're mentally imprisoned."Umenikumbusha Kanye West alivyojibu kuhusu sababu za mtu mweusi kufanywa Mtumwa enzi za ukoloni ambapo alijibu ya kwamba “Mtu Mweusi au babu zetu walipenda wenyeji kuwa watumwa wala halikuwa kosa kwa mtu mweupe(mzungu,mwarabu) kumgeuza mtu mweusi kuwa mtumwa “
Tatizo la waliosoma KLFMasikini huamini matatizo yao yameletwa na waliofanikiwa! Wewe endelea Tu kulaumu watu kwa matatizo yako na hii mada umeileta makusudi Tu unajua Kuna makopo wenzio humu wengi Tu wangekuunga mkono kwa sababu za either siasa,soka,umasikini,udini,ujinga or whatever.BADILIKA
hilo la tembo nakuunga mkono Kassim Dewji alikua ana ofisi pale Haidary plaza posta mpya mzigo alikua ananunua laki 5 kwa kilo na akienda rufiji kuuchukua kwa gari ya waziri mkubwa kabisa anakupa laki3 kwa kilo.You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
mleta mada kamwaga poooovu hata sijuhi katafuna mche wa mbuni!Mbona una hasira alafu acha ubaguzi
Ova
Ana hasira kama kangatwa na nyukimleta mada kamwaga poooovu hata sijuhi katafuna mche wa mbuni!
Wivu na roho mbaya tuYou have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
Haya bana.Unamuonea sana! Alichosema ni ukweli kabisa kulingana na ethics za uchumi.