Mohammad Dewji shut that little mouth up!

Una muhukumu mtoto kwa dhambi aliofanya baba ake, kweli wewe una chuki binafsi.
hatamie nashangaa, hatuwezi chukulia tofauti za mababu zetu nasi tukazichukua hivyo hivyo, hadi miaka ya themanini mmasai alikuwa hawezi kwenda tarime au bariadi kwa uhasama wa kuibiana mifugo. leo hii wamasai wapo tarime na bariadi wakiuza ngorotee na shanga.
 
 
ACHA UBAGUZI
 
Wewe kweli ni rose- marie.
Wivu wa kike ndo umekujaa.
Hivi hujui hata kumpora mtu inahitaji uvumilivu na muda?
 
We dada alilolisema Mo dewj ndo ukweli haijalishi yeye alipata kwa njia gani. Angalia kwa sasa anasaidia kwa kiasi gani. Hata kuingia mbinguni wa kwanza atakua wa mwisho na wa mwisho atakua wa kwanza haijalishi ni dhambi zipi alitenda kikubwa kubadili njia na kutenda ya haki. Leo Mo ameajiri watu wangapi hata kama unamchukia kwa yaliyopita?.
 
Na mi nimeshangaa kumwita mwarabu
 
wewe nawe yanga,umeandika utumbo mtupu,ukiyataka hayo hautokutana na msafi dunia hii,umasikini ni ugonjwa mbaya sana...
 
Nilikuwa sijui kumbe Mo ni mwarabu. Punguza hasira dada kumbe hata hivyo haumfahamu.
 
Njaa mbaya sana, Asa wewe unamtukana Hata huyo, MTU mwenyewe wala si muongeaji
 
Wanasema,usipoumiza akili darasani utaumiza mwili mtaani.
 
Small minds discuss people, average minds discuss events and great minds discuss ideas.

This is purely hate speech. Ukisikia uchochezi ndo huu.
 
Hoja yako ingependeza ikiwa tu, gepunguza jazba na chuki zako binafsi na dhahiri kwa Mo
 
A hateful and resentful thought is a mental poison
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…