Ni hii hii Post yake tu?You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko
Inaeleweka, jamaa Yanga.Ni hii hii Post yake tu?
Au kuna jingine?
Kwanza kabisa wewe ni YANGA.
Pili, yuko sahihi. Inahitajikuwa patient kufanikiwa. Empire yao bila kujali waliipataje, imejengwa kwq vizazi kuanzia kwa baba yake yeye kapokea kijiti na anazidi kuiboresha.
Ulipotaja mpira tu,nikajua wewe ni YANGA bila shaka.tatizo hamjadili hoja mnamjadili mtu, mara wewe yanga wakati hakuna sehemu aliyozungumzia yanga au simba.Kwani hamjui jinsi gani Mohamed enteprises walivyokuwa wanatumia rushwa au udhaifu wa serikali kujipatia hiyo pesa ya haraka.hivi wakati swala la chakula kibovu lilipoibuka na mashahidi wote wakafariki mlikuwa wadogo au mlikuwa hamjazaliwa.sasa hivi serikali inataka kuwanyang'anya mashamba ya mkonge ambayo badala ya kuyaendeleza wamechukua mkopo benki na kulima sehemu ndogo tuyako mambo mengi ambayo mengine yako wazi na mengine yamejificha ila kwa sababu wengi mnadanganywa na uwekezaji wake kwenye mpira
kwa sababu ndipo mwisho wa upeo wako wa kufikiri ulipoishiaUlipotaja mpira tu,nikajua wewe ni YANGA bila shaka.
Ni kweli.kwa sababu ndipo mwisho wa upeo wako wa kufikiri ulipoishia
kwanza mbona sioni tatizo kwenye tweet ya MO! pia hoja ni asili yake au tweet yake? unge concentrate kwenye point moja ingeleta maana zaidi, kuhusu biashara ya utumwa MO ni mwenye asili ya India na hakuna uhusiano wa India na madhambi yaliyotendeka wakati wa utumwa. Nawakilisha.You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small mouth up!!!kwanza mliuza babu zetu utumwani na mkawaua kwa kuwatesa,,i hate you,,wewe ni kizazi cha uovu na akili zako zimejaa uovu hakuna jambo lolote unaweza kuwaambia watanzania nenda kwenu huko uarabuni ukapigane na waarabu wenzio huko