fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,609
- 7,168
Dominic Salamba,anasema Zimbwe kasaini yanga, duh kama kweli simba watalia sana.
Jibu hojaHadi salamba!!!!!!!!!!!!
Long life jamii Forum.
Serva zinalipiwa.
Atatupa uzoefu alionaoHapo uongozi utakua umezingua parefu sana
Zije damu changaAtatupa uzoefu alionao
kwamba salamba hana sifa ya kuongelewa hapa?Hadi salamba!!!!!!!!!!!!
Long life jamii Forum.
Serva zinalipiwa.
yanga msifanye usenge huu msisajili kikongweDominic Salamba,anasema Zimbwe kasaini yanga, duh kama kweli simba watalia sana.
Akae huko huko.Dominic Salamba,anasema Zimbwe kasaini yanga, duh kama kweli simba watalia sana.
Kwa sasa ni mchezaji gani mzawa anamfikia Shabalala kama beki wa kushoto?Huu usajili kama ni kweli basi wamekurupuka. Vijana wapo kibao mnakomaa na wazee.
Sasa hiyo ndio sababu? Hata kwenye darasa la mbumbumbu lazima kutakuwa na number one ila kwa mambumbu. Shabalala wa kawaida,age imeenda hatufai ila kama wameamua wao viongozi sawa hamna jinsi.Kwa sasa ni mchezaji gani mzawa anamfikia Shabalala kama beki wa kushoto?