Mohamed Zimbwe ni mwananchi

Mohamed Zimbwe ni mwananchi

Sasa hiyo ndio sababu? Hata kwenye darasa la mbumbumbu lazima kutakuwa na number one ila kwa mambumbu. Shabalala wa kawaida,age imeenda hatufai ila kama wameamua wao viongozi sawa hamna jinsi.
sio vibaya kuwa na squad kubwa kuna majeruhi baadae na ukizingatia boka upatikanaji wake sio wa uhakika, kibabage kiwango chake sio cha kumtegemea sana, mm nawaelewa yanga kumsaji mo husssein, ni kama israh mwenda ilivokuwa kuna watu walimkataa mwenda bila kuangalia uwezo wake kwenye eneo analo cheza af saiv kawaprove wrong
 
Kwani Mwenda ameondoka Yanga? Maana kacheza vizuri mechi za mwishoni.
 
Sasa hiyo ndio sababu? Hata kwenye darasa la mbumbumbu lazima kutakuwa na number one ila kwa mambumbu. Shabalala wa kawaida,age imeenda hatufai ila kama wameamua wao viongozi sawa hamna jinsi.
Anapewa mkatab wa muda mfupi, lengo nikuwa na mbadala wa Boka
 
sio vibaya kuwa na squad kubwa kuna majeruhi baadae na ukizingatia boka upatikanaji wake sio wa uhakika, kibabage kiwango chake sio cha kumtegemea sana, mm nawaelewa yanga kumsaji mo husssein, ni kama israh mwenda ilivokuwa kuna watu walimkataa mwenda bila kuangalia uwezo wake kwenye eneo analo cheza af saiv kawaprove wrong
Kabisaa, hata mom nawaelewa Yanga
 
Please lisanyike kosa Hilo
left over za aviola bonge la dada hazijawahi kuisadia Yanga hata siku moja na ni aibu na fedheha kubwa.

asichukuliwe mchezaji yeyote kutoka Simba hata ,hata Feisal iwapo atarudishwa ni kosa kubwa uwezo wa Feisal ni wa ligi ya NBC , mashindano ya CAFCL hayawezi ,sajilini wachezaji wa maana wa kuifikisha ya Yanga semi final CAFCL.
 
Bwanamdogo yuko vizuri acheni kumnanga ninyi wana Yanga.

Kaifikisha Simba mbali mnoo

Bado ana energy ya kuwazidi mabeki wengi duniani.
 
Wazee wakakae kwenye vijiwe vya kahawa, juzi fainali ya FIFA PSG na Chelsea, zaidi ya asilimia themanini ni damu changa.
Hata Simba sc siku anapigwa 5-1 dhidi ya yanga kumbuka Simba sc alikua na vijana wengi na yanga sc alikua na wezee wengi

I've just remind you
 
Back
Top Bottom