Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,757
- 3,257
Walishaachana nayeHuyo angebaki hukohuko kwa walozi wenzake
Walishaachana nayeHuyo angebaki hukohuko kwa walozi wenzake
Kipiindi anapigwa tano viijana wakina Saido,Chama, Ngoma, Kapombe, Shabalala,Manula, Mzamiru hawa ndio vijana? au labda uliangalie derby nyingine.Hata Simba sc siku anapigwa 5-1 dhidi ya yanga kumbuka Simba sc alikua na vijana wengi na yanga sc alikua na wezee wengi
I've just remind you