Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,454
- 32,980
Maskini rafiki yangu ameondoka! Sikujua hili. Alikuwa mentor wangu wa maana.Mzee Songambele ajazaliwa Dar
Kaja mjini kwa sababu ya kumsindikiza rafiki yake.
Alikuwa rafiki wa Kawawa wakiwa Songea.
Kawawa wakati anajiandaa kwenda kujiunga na harakati za uhuru, ili asiwe mpekwe akamshawishi na rafiki yake Songambele amsindikize.
Kawawa na Songambele wameenda na bus moja.
Uwe unafanya research zako kwa kina.
Mayor...Mzee Songambele ajazaliwa Dar
Kaja mjini kwa sababu ya kumsindikiza rafiki yake.
Alikuwa rafiki wa Kawawa wakiwa Songea.
Kawawa wakati anajiandaa kwenda kujiunga na harakati za uhuru, ili asiwe mpekwe akamshawishi na rafiki yake Songambele amsindikize.
Kawawa na Songambele wameenda na bus moja.
Uwe unafanya research zako kwa kina.
Kwakweli hilo sijasikia.Mayor...
Kuna mahali imesemwa Songambele amezaliwa Dar es Salaam?
Mayor...Kwakweli hilo sijasikia.
Binafsi niliishia uliposema inawezekana yeye alimtafutia kiwanja Nyerere Magomeni. Ume imply sana kwenye interview kama vile kakulia Dar.
Kingine Magomeni ya Nyerere kipindi cha uhuru, ilikuwa pori; mitaa ya Kimara ukisogea mbele kidogo tu Kimara unaweza kutana na Simba. Hakukuwa na mission yeyote kupata kiwanja.
Naheshimu sana jitihada zako za kuadhitia harakati za uhuru na historia ya Dar inaelimisha, ila kuwe na facts. Nadhani Nyerere alifika Dar kabla ya kawawa pia.
Kawawa alijiunga na TAA mwaka gani?Mayor...
Rashid Mfaume Kawawa alimtangulia Nyerere kufika Dar es Salaam.
Gagnija,Kawawa alijiunga na TAA mwaka gani?