View: https://youtu.be/4pvbCGFiXHY?is=qm-X1-Wkiaaf5GNH
Aishauri katika afisi za ccm waweke picha za waanzilishi wa TANU na TAA.ambao ndio wapigania uhuru wa Tanganyika
Amesema haiwezekani ktk afisi ya ccm hasa lumumba inakosekana picha ya mwanachama namba 2, 3, 4,5.