Wanajf fungueni CNN wenye access yaani Tahrir imefurika wananchi wansubiri matokeo ya Urais, chama Muslim brother hood chatishia kufanya maandamano yasiyo na kikomo. Patamu hapo let wait and see. Matokeo yanatarajiwa saa 1300GMT
Kwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Misri, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama chenye mlengo wa Kidini cha MUSLIM BROTHERHOOD, Mohamed Morsi ameshinda.
Swali: Je, Misri nchi kongwe kabisa Duniani ambayo mpaka leo ni nchi maskini, kwa mwelekeo huu imepiga hatua au inarudi nyuma?
Huko walikotoka walikuwa wanaenda mbele au wanarudi nyuma !?Kwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Misri, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama chenye mlengo wa Kidini cha MUSLIM BROTHERHOOD, Mohamed Morsi ameshinda.
Swali: Je, Misri nchi kongwe kabisa Duniani ambayo mpaka leo ni nchi maskini, kwa mwelekeo huu imepiga hatua au inarudi nyuma?
Dah, tofauti ndogo. Mchuano ulikuwa mkubwa sana, patatulia?