Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,732
- 239,336
Binafsi namfahamu kidogo tu kama Katibu mkuu wa BMT .
Sijui ametokea wapi na wala sifahamu tangu lini ameshika wadhifa huo .
Katika siku chache nilizomsikia , kiukweli amenivutia , hasa baada ya kuanza kuondoa uozo wa miaka mingi kwenye sekta ya michezo , ni mtu ambaye hataki longolongo.
Anayemfahamu zaidi atuwekee habari zake hapa , tumjue zaidi .