Mogadishu inawaka moto, makundi ndani ya jeshi yameingia katika mapigano

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Milio mikubwa ya mabomu na risasi zinaendelea kusikika tangu mchana bila kupoa ambapo yamezuka ndani ya jeshi makundi yanamuunga mkono rais aliyeongeza muda wake Muhammad aka farmajo na wale wapinzani wake serkalini.

Makundi hayo ndani ya jeshi yameendela hadi mitaani huku raia wakiombwa kutotoka nje hasa mji mkuu wa Somalia Mogadishu , bado idadi ya vifo na uharibifu haijaripotiwa bado lakini rais wa zamani amedai makazi yake kushambuliwa na askari wanahofiwa kumuunga mkono rais aliyeko madarakani.

Tangu ijumaa kulikuwa na hofu ya kuzuka machafuko baada ya umoja wa Africa kukataa mpango wa kuongeza muda wa rais farmajo wa miaka miwili.

BBC

Yaani jamaa analazimisha kuongeza muda kwa lazima, kwa kweli duniani kuna watu wana roho mbaya sanaaaaaaa
 
Back
Top Bottom