MOFCOM SCHOLARSHIP CHINA.

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Igweeeeeeeeeeeeeee,
Wakuuu Kuna hizi scholarship za watumishi wa umma mofcom maombi yake yanayopitia utumishi zilizokuwa zimefunguliwa mwezi MAY

Je scholarship hizi zina usaili (interview) ?

Kwa sababu kunajamaaa mmoja aliaply mwaka juz ameniambia kulikuwa na usaili (interview)

Naomba wadau wanaofaham juu ya hili wanipe mrejesho


Natanguliza shukrani zangu za zati Asante
.
 
Back
Top Bottom