mods wakianika PM zetu......

mods wakianika PM zetu......

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,077
Itakuwa hivi:
Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya".
Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"
Inbox ya Paloma.... marejesho kachoka sana,mhemko unaniua nisaidie from Filipo
Inbox ya sosoliso.....hivi wewe Paloma kakuroga? From Arabela
Inbox ya Erickb52......achana na Chocs jana nimemwona na Arushaone mount meru,please call amu
Inbox ya pou: hivi huyo King'asti unamjua uzuri? From gfsonwin
Inbox ya Dena Amsi.....we told you Mr Rocky karudi kwa mkewe
 
Last edited by a moderator:
Inbox ya Paloma.... marejesho kachoka sana,mhemko unaniua nisaidie from Filipo

Mie na Paloma!!!?

Ungejua!........hizi safari za Tanga za wajeiefu unaziamini?

Mbona huwa tunakwenda pamoja! She is always by ma side Mkuu!

Bishanga umebugi meeen..Mie pamoja na nina kijacho mume wangu Filipo bado anapata haki yake ya msingi ya ndoa...Muulize kama unabisha.....

Huchana nae huyu Mpz! Anaweweseka tangu The secretary alipotishia kumuacha!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kama ukweli vile ha ha ha ha majungu plus plus
 
Last edited by a moderator:
Jamani Arabela mbona simuoni na mimi natamani nione pm yake
 
Last edited by a moderator:
Bishanga na tunazokutumia sema hata moja tu.
Itakuwa hivi:
Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya".
Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"
Inbox ya Paloma.... marejesho kachoka sana,mhemko unaniua nisaidie from Filipo
Inbox ya sosoliso.....hivi wewe Paloma kakuroga? From Arabela
Inbox ya Erickb52......achana na Chocs jana nimemwona na Arushaone mount meru,please call amu
Inbox ya pou: hivi huyo King'asti unamjua uzuri? From gfsonwin
Inbox ya Dena Amsi.....we told you Mr Rocky karudi kwa mkewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom