MoDs ngoja niwalipue!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
nawataja kwa taaluma zao:
pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko.
Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali.
Candid Scope: Mnec wa sisiem
Invisible: shushushu,secree,njata,mhesabu vizibo...in aza weds hafai.
Erickb52: mwizi tu,bandido,majuzi aliswekwa ndani arusha,kazi kudandia wake za watu,atajiju mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Umechoka kukaa uraiani Bishanga au ni whisky zinaongea? Nakushauri acha kushika nyaya za umeme ohoo! Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:
nawataja kwa taaluma zao:
pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko.
Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali.
Candid Scope: Mnec wa sisiem
Invisible: shushushu,secree,njata,mhesabu vizibo...in aza weds hafai.
Erickb52: mwizi tu,bandido,majuzi aliswekwa ndani arusha,kazi kudandia wake za watu,atajiju mwaka huu.
Hahahahaaaaa Bishanga najua kuna kitu kinakuuma hasa huyu The secretary kwenda na mimi Mwanza.....usijali!
Pia nataraji kuachana na U-MOD coz kuna lawama nyingi sana...nshaongea na wakuu na wanataraji kunijibu soon!
 
Last edited by a moderator:
mi hua napendaga kile kipicha cha roulette, anaonekana very innocent,shy na kajifunga hata unywele hatuuoni na yale macho mhh kumbe nilikosea ni mrukaji ungo :biggrin1:
 
Bishanga umechoka kukaa uraiani
Ngoja waamke maana nafikiri muda huu wamelala
Afu huyo Erickb52 kaukwaa umod lini au ni umod wa kuruka na wake za watu maana sijawahi msikia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom