MoDs ngoja niwalipue!

hahahaha kwani kutembea nae tu ni kosa ua alimgonga kabisa...? au ndio ule usemi paka na paka na samaki hawakai tenga moja?
Jiwe Linaloishi huyo jamaa alitembea na mke wa mtu kwa maana ile iliyojificha sio ya kutoka Airport mpaka kona ya Bwiru unayojua wewe
Ndo maana Erickb52 kakimbia mwanza hawezi kurudi Arushaone hebu mwambie Erickb52 ajitokeze bana tushamaliza soo lake
 
Last edited by a moderator:

duh poa mkuu umesomeka.. kumbee haachi mbachaoo kwa dem akatizaye.. basi simwonyeshi kiota changu.. lakini na wewe unaonekana kama ni mmoja wao
 
Jiwe Linaloishi nakutafutia Paw na wewe akupe ban ya maisha kwa kunituhumu
kiota chako mbona nishakijua na hapa napiga jaramba kukifuatilia wala usihofu mimi "nitatembea" nae tuu usiogope
 
Last edited by a moderator:
Jiwe Linaloishi nakutafutia Paw na wewe akupe ban ya maisha kwa kunituhumu
kiota chako mbona nishakijua na hapa napiga jaramba kukifuatilia wala usihofu mimi "nitatembea" nae tuu usiogope

paw mwenyewe nimema ban ndio maana haonekani humu ukimwona humu ujue ashatubu.. we hujui kwetu katavi ntakutembeza na miguu mitatu.. na busha kama tikiti maji.. nakuongezea na manyonyo hiyo situ haitafunga tuone km utakatiza kitaa
 
Sumbawanga mbona nishakaa sana kule hamtishi wala nini
Wacha kutishia bana Jiwe Linaloishi na kiota chako lazima nikipate kwa gharama zozote
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom