Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Kwani na hawa ni mods?
Kheri wanaosadiki pasipo kuona
Na wewe umeokoka au ni mpango mkakati wa kumpata huyo bibie?
Heeeeeeeeee Marry Hunbig unasema?
Nakuambia mi nikiwa mod sweetlady, Arushaone, Erickb52, nitonye, Mr Rocky wote ningewapiga life ban, afu mi napeta na my waifu wangu Lily Flower, uncle wangu Preta, mazaangu Blaki Womani, bamdogo PakaJimmy, rafiki zangu LiverpoolFC, Filipo na shem wangu marejesho
Duh!
Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!!
Weeeh!
Wacha anilambe ban ya wiki 2!!!
Duuh!
Nashukuru nimefunguliwa salama!
Jela kubaya weweee!!!
....vipo vya kuchezewa lakini sio mods....