Modern Luxury Mansion. Budget mpaka roofing 245M

3d elevation_4 - Photo.jpg
 
Hii ukisimamia mwenyewe kwa force account 200m na chenji inabaki!
 
LABDA KAMA UNA KIWANDA CHAKO CHA VIFAA😀😀 NA KWANN UNAFIKIRI WW UKISIMAMA NDO UTAPATA URAHISI ,SO UNAHISI ME NKIKUJENGEA NDO NTAPATA FAIDA 45M NISINGEKUWA NA POST HUKU MDA HUU KAMA KAZI MOJA NAPATA FAIDA 45M NINGEKUWA BEACH NAKUNYWA JUICE
 
Mjumba wote huo halafu unatumia chumba kimoja tu.

Hata ukisema ni ya kupangisha, hamna guarantee ya kumpata mpangaji wa muda mrefu. Na ukifa tu, watoto wanauza.
Bora hiyo pesa uwawekee benki tu, au itumie kufaidi maisha.
 
😀😀😀tulia vzr
 
3dsss_5 - Photo.jpg
 
Attachments

  • 3dsss_5 - Photo.jpg
    3dsss_5 - Photo.jpg
    5.1 MB · Views: 14
Back
Top Bottom